Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Nzuri sana hii hasa ukiwaletea mzigo watu wenye uhakika,ili.kuepuka kukimbiwaMbona ipo sana mkuu
Mtu unaletewa mzigo na siku ya pili jamaa anapitia
Hii sio chakula tu mpaka oil ya magari wanakuletea na kusambaza
Ni biashara nzuri na haina longolongo kwani wateja wanazo hela ila isizidi siku 3
Utakuta kaenda kulima
Ukiwa na hela tu kiwandani wanakupatia mzigo....mchawi pesabonge la wazo kule kiwandan inakuaje
Hii mbona ipo sana sana sema supply part ni good deal kwenye biashara,Ukiwa na hela tu kiwandani wanakupatia mzigo....mchawi pesa
inaonekana unaijua sana hii biasharaHii mbona ipo sana sana sema supply part ni good deal kwenye biashara,
Madimba jr fikiria unaweza vipi kuwafundisha watu ambao hawana mitaji kufanya biashara na iwalipe kwa kuangalia uhakika wa soko mfano umeona soko mahali unachukua bidhaa kiasi fulani unapeleka kwa mwenye huitaji lakini lazima ufanye makubaliano ya awali au mteja mkubaliane uhakika wa kufanya biashara ndipo uchukue bidhaa au huduma upush kwake.
kumbuka unavochukua mzigo hujalipia gharama ya bidhaa hivyo unaeza fanya tena makubaliano mengine na muuzaji anayekuuzia au unaweza mwambia mteja akulipe pesa ya mzigo upate pesa ya kununua, na Usafiri na baadae unachukua faida yako kwa mteja baada ya kumfikishia bidhaa/huduma.
inatakiwa ieleweke ni mpaka wewe uwe na high degree ya uaminifu kuweza kufanikisha zoezi hili na hardworking au kujituma.
fungukaThis is one of my busness,ila tofauti kidogo tu
Hii biashara siwezi kusema naijua Sana lakini ukishajua soko ndio unaifanya, sasa wewe unatakiwa ukodi usafiri au kama una wakwako fresh, Mara nyingi siyo day to day business ni tempo tender business but unaweza fanya Mara nyingi kama unajiongeza kwenye suala la soko na unawatu au uaminifu factor.Hii mbona ipo sana sana sema supply part ni good deal kwenye biashara,
Madimba jr fikiria unaweza vipi kuwafundisha watu ambao hawana mitaji kufanya biashara na iwalipe kwa kuangalia uhakika wa soko mfano umeona soko mahali unachukua bidhaa kiasi fulani unapeleka kwa mwenye huitaji lakini lazima ufanye makubaliano ya awali au mteja mkubaliane uhakika wa kufanya biashara ndipo uchukue bidhaa au huduma upush kwake.
kumbuka unavochukua mzigo hujalipia gharama ya bidhaa hivyo unaeza fanya tena makubaliano mengine na muuzaji anayekuuzia au unaweza mwambia mteja akulipe pesa ya mzigo upate pesa ya kununua, na Usafiri na baadae unachukua faida yako kwa mteja baada ya kumfikishia bidhaa/huduma.
inatakiwa ieleweke ni mpaka wewe uwe na high degree ya uaminifu kuweza kufanikisha zoezi hili na hardworking au kujituma.
uaminifu ndo key factor kwa hii biasharaHii biashara siwezi kusema naijua Sana lakini ukishajua soko ndio unaifanya, sasa wewe unatakiwa ukodi usafiri au kama una wakwako fresh, Mara nyingi siyo day to day business ni tempo tender business but unaweza fanya Mara nyingi kama unajiongeza kwenye suala la soko na unawatu au uaminifu factor.
Ndio mkuu maana unafanya watu wakuaamini zaidi kulingana na tabia yako na siyo Mtaji ambao huna so huna Mtaji pesa lakini uaminifu 100% upo, hapo lazima ufanikiwe.uaminifu ndo key factor kwa hii biashara
Tuambie mkuu wewe unaifanyaje!This is one of my busness,ila tofauti kidogo tu