Mshaifikiria biashara ya kuwa Supplier au Distributor wa bidhaa?

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Kwamba wewe unaenda kiwandani unachukua mzigo kwa jumla let us say tani moja ya Sundrop au Blue band au pipi whatever,unaenda mtaani kutafuta wenye maduka ya rejareja unawauzia kwa bei ya jumla jumla then baada ya wiki unapita kukusanya hela yako (kumbuka hawa wengi unaweza ukawaachia mzigo kwa mali kauli tu) hii kitu faida yake ni kwamba wenye maduka wanasave nauli na muda,ukishapa wateja wako 10-20 wa uhakika basi nakuambia baada ya miaka kadhaa utaona matunda yake..
 
Mbona ipo sana mkuu
Mtu unaletewa mzigo na siku ya pili jamaa anapitia
Hii sio chakula tu mpaka oil ya magari wanakuletea na kusambaza
Ni biashara nzuri na haina longolongo kwani wateja wanazo hela ila isizidi siku 3
Utakuta kaenda kulima
 
Nzuri sana hii hasa ukiwaletea mzigo watu wenye uhakika,ili.kuepuka kukimbiwa
 
Ukiwa na hela tu kiwandani wanakupatia mzigo....mchawi pesa
Hii mbona ipo sana sana sema supply part ni good deal kwenye biashara,

Madimba jr fikiria unaweza vipi kuwafundisha watu ambao hawana mitaji kufanya biashara na iwalipe kwa kuangalia uhakika wa soko mfano umeona soko mahali unachukua bidhaa kiasi fulani unapeleka kwa mwenye huitaji lakini lazima ufanye makubaliano ya awali au mteja mkubaliane uhakika wa kufanya biashara ndipo uchukue bidhaa au huduma upush kwake.
kumbuka unavochukua mzigo hujalipia gharama ya bidhaa hivyo unaeza fanya tena makubaliano mengine na muuzaji anayekuuzia au unaweza mwambia mteja akulipe pesa ya mzigo upate pesa ya kununua, na Usafiri na baadae unachukua faida yako kwa mteja baada ya kumfikishia bidhaa/huduma.

inatakiwa ieleweke ni mpaka wewe uwe na high degree ya uaminifu kuweza kufanikisha zoezi hili na hardworking au kujituma.
 
This is one of my busness,ila tofauti kidogo tu
 
inaonekana unaijua sana hii biashara
 
Hii biashara siwezi kusema naijua Sana lakini ukishajua soko ndio unaifanya, sasa wewe unatakiwa ukodi usafiri au kama una wakwako fresh, Mara nyingi siyo day to day business ni tempo tender business but unaweza fanya Mara nyingi kama unajiongeza kwenye suala la soko na unawatu au uaminifu factor.
 
uaminifu ndo key factor kwa hii biashara
 
Me nimeisajili kabisa yani it's a company,na malipo yangu wanilipe end of the month,ni biashara nzuri
 
Back
Top Bottom