Mshamba ni mtu wa aina gani?

Mshamba ni mtu wa aina gani?

zzecaere

Senior Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
143
Reaction score
130
Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi?
 
Mshamba ni yule anayeshangazwa na jambo hata lisiloshangaza...!!!
 
Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi?

Mshamba ni yule anaeshangaa magorofa ya dubai, wanaume/wanawake wa Dar utawapata wengi sana wa namna hiyo
 
Back
Top Bottom