zzecaere Senior Member Joined Jul 31, 2018 Posts 143 Reaction score 130 Dec 7, 2018 #1 Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi?
SALOK JF-Expert Member Joined Sep 20, 2011 Posts 3,364 Reaction score 2,001 Dec 8, 2018 #2 Mshamba ni yule anayeshangazwa na jambo hata lisiloshangaza...!!!
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Dec 8, 2018 #3 zere said: Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi? Click to expand... Mshamba ni yule anaeshangaa magorofa ya dubai, wanaume/wanawake wa Dar utawapata wengi sana wa namna hiyo
zere said: Wakuu naomba kuuliza, mshamba ni mtu wa aina gani? Au maana halisi ya mshamba ni ipi? Click to expand... Mshamba ni yule anaeshangaa magorofa ya dubai, wanaume/wanawake wa Dar utawapata wengi sana wa namna hiyo