Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
719
Reaction score
2,408
Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam.

Location nipo vikindu mkoa wa pwani nimepanga chumba kwa miezi mitatu tu kisha nirudi zangu Tukuyu. Kutoja vikindu hadi samaki samaki napanda gari za wapi?

Na kutoka vikindu hadi beach kidimbwi napanda gari za wapi? Na kutoka vikindu hadi kitambaa cheupe sinza napanda gari za wapi?

Na kutoka vikindu hadi kwa chef kile yule mchoma nyama napanda gari za wapi?

Nataka ndani ya hiyo miezi mitatu nichakate makalio ya wadada wa Daslam yasiyopungua 97, sasa waswahili wa huku Vikindu nawauliza hayo maeneo wananitolea macho tu na barakashia zao “hatupajui sieee kwani watoka wapi wee?

Nikasema bullshit, naenda kuuliza JF kuna wana na bebez kibao nitatimba tu hayo maeneo
 
Pot tumia google map,huna haja ya kuteseka,in short nenda Sinza ukiwa hapo kila sehemu uanzie hapo au uende magomeni uanzie hapo uliza uba au changanya uba na boda nenda short distance ili ujifaidi na Jiji.
 
Nitatumia hii njia
 
Ukitoka vikindu panda gari za kariakoo ukifika utapanda gari zinazoenda kibaha alafu utashuka kiluvya utakuwa umefika samaki samaki
 
Back
Top Bottom