Mshambuaji wa Lipuli FC, Adam Salamba asaini kuitumikia Simba SC

Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic

Hili ni garasa time will tell!!!
Kwahivyo wakisajiliwa wachezaji wa Kimataifa. Wale wazawa hawana nafasi? Acha kujitoa fahamu ninyi Vyura.
 
Mkuu mbona sisi yanga tulikuwa tunataka atusaidie mechi za kimataifa na tuliandika huyu ni mchezaji mzuri tuachen wivu wa kike... Ndo maana mkwasa alifikiria katika wachezaj wote akamwona salamba... Jamaa wametuzid wamempata tukubali kushindwa tu
Mlitaka muingie choo cha kike ...hyu dogo nimeanza kumfatilia tokea akiwa stand hana potential kivile ni wa kawaida mno hta ball control ni mtihani mkubwa kwake...
Angesajiliwa yanga nisingeshangaa coz wana ukata lakini sio kwa simba hii inayojitanabaisha kutaka kufanya vizuri klabu bingwa, ufurukute kombe la caf kwa wachezaji dzain hii ya salamba never!!!
 
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic

Hili ni garasa time will tell!!!
mapovu ...tulieni sindano ziingie kwenye makalio yenu
 
Kwahivyo wakisajiliwa wachezaji wa Kimataifa. Wale wazawa hawana nafasi? Acha kujitoa fahamu ninyi Vyura.
Sio kujitoa ufahamu mi nimeongea fact...salamba ni garasa nafasi kumi atafunga moja tu!!
 
Aaaah..!Kwani nimesema mimi nafasi kumi anafunga moja. Mbona unakikana kivuli chako
Hyo dogo nimemfatilia tokea stsnd sio goal gater ana mapungufu mengi sana ...alikuwa anakosa magoli ya wazi mengi tu ...cha muhimu tuwe na subra ninayokwambia utayashudia mwenyewe
 
Hyo dogo nimemfatilia tokea stsnd sio goal gater ana mapungufu mengi sana ...alikuwa anakosa magoli ya wazi mengi tu ...cha muhimu tuwe na subra ninayokwambia utayashudia mwenyewe
We unachuki naye binafsi. Na ni heri huyu anauwezo wa kukifikia goli. Hakuna alizaliwa anaweza ni kujifunza na kila timu ina malengo yake. Hata Samatta watu walibeza alipotoka African Lyon

Mtu kama Mkwasa ana taaluma ya ukocha ameangalia akaona huyu anafaa kuwasaidia ila kutokuweka mzigo mezani ndo tatizo.

Weka akiba yako katika maneno. Mbona Mavugo alikuwa mzuri kwao, Niyonzima, je wameasaidia nini Simba SC?

Acha dogo ajaribu bahati yake, Simba SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…