Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Mhuni tu huyo.
Alianza ba Mbagala Market, akaiuza.
Baadaye Singida United akaitekekeza!
Sasa ni zamu ya Simba, ataipiga bei maana imekuwa bidhaa kama bidhaa nyingine tu.
Vipi Yondani Mumeshampata? Huenda ikawa Kajiteka au Katekwa na Wasiojuilikana Lakini Si Kwa Kutoweka kule!
Halafu Vyura FC naona imeshakuwa Family Problems FC Cuz kila anaegoma Mkwasa anajaribu Kuwaaminisha Washabiki Kuwa ana matatizo ya Kifamilia.