Mshambuaji wa Lipuli FC, Adam Salamba asaini kuitumikia Simba SC

Mhuni tu huyo.
Alianza ba Mbagala Market, akaiuza.
Baadaye Singida United akaitekekeza!
Sasa ni zamu ya Simba, ataipiga bei maana imekuwa bidhaa kama bidhaa nyingine tu.

Vipi Yondani Mumeshampata? Huenda ikawa Kajiteka au Katekwa na Wasiojuilikana Lakini Si Kwa Kutoweka kule!

Halafu Vyura FC naona imeshakuwa Family Problems FC Cuz kila anaegoma Mkwasa anajaribu Kuwaaminisha Washabiki Kuwa ana matatizo ya Kifamilia.
 
Yaan simba ndyo wanataka kuchukua ubingwa wa afrika kwa wachezaji dizain hii ya salamba ambao mpaka wapate nafasi kumi za kufunga ndyo apate goli moja....so pathetic

Hili ni garasa time will tell!!!
Tatizo la simba badala ya kuendesha club kimkakati kwa kusajili wachezaji wenye uzoefu kimataifa wanasajili kisiasa na kimihemko ya kimanara manara kisa tu huyu mchezaji alitakiwa na Yanga, kwa akili zao wanahisi wanawakomoa yanga
 
Hata mimi nawashangaa sana au labda wameridhika kupata kombe la ligi kuu bara!
Hivi simba wanashindwa kuasjili huko majuu wanasajili kutoka majimaji na lipuli? Hivi washauri wa simba ni akina nani? $
 
Tatizo la simba badala ya kuendesha club kimkakati kwa kusajili wachezaji wenye uzoefu kimataifa wanasajili kisiasa na kimihemko ya kimanara manara kisa tu huyu mchezaji alitakiwa na Yanga, kwa akili zao wanahisi wanawakomoa yanga
Sasa hivi wanamtaka Tshishimbi. Ha ha ha!!!
 
Tatizo la simba badala ya kuendesha club kimkakati kwa kusajili wachezaji wenye uzoefu kimataifa wanasajili kisiasa na kimihemko ya kimanara manara kisa tu huyu mchezaji alitakiwa na Yanga, kwa akili zao wanahisi wanawakomoa yanga

Kwani Nyinyi Vyura FC Mulipomtaka Muazimwe Hamukujua Kuwa Si Mchezaji Mwenye Uzoefu?
 
Tatizo la simba badala ya kuendesha club kimkakati kwa kusajili wachezaji wenye uzoefu kimataifa wanasajili kisiasa na kimihemko ya kimanara manara kisa tu huyu mchezaji alitakiwa na Yanga, kwa akili zao wanahisi wanawakomoa yanga
Usajili kwa kutumia akili za watu kama Haji Manara.
Usajili wa kuikomoa Yanga haiwezi kuwaacha salama.
Yanga itaishia kunufaika na usajili huo. Yondani mwache ahame na kadi zake. Watapigana misumali hadi wanyooke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…