Mshambuliaji Hatari wa Yanga Lazaros Kambole kaanza kwa kishindo Ndani ya Zesco United

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
πŸ‡ΏπŸ‡² Lazarous Kambole aliyepo kwa mkopo ZESCO kutoka YANGA. Tayari anagoli 3 katika michezo yake 2 ndani ya Zesco .

🏟 Mechi 2
⚽ Magoli 3.
 
πŸ‡ΏπŸ‡² Lazarous Kambole aliyepo kwa mkopo ZESCO kutoka YANGA. Tayari anagoli 3 katika michezo yake 2 ndani ya Zesco .

🏟 Mechi 2
⚽ Magoli 3.
 
Zambia hakuna pisi Kali wala kidimbwi,mchezaji lazima afanye kilichompeleka.
 
Mhhh! Siyo kwa kiwango kile alicho kionesha kwenye Mapinduzi cup kule Zanzibar!!!

Kila la heri kwake.
 
Binafsi natamani kumuona akiwa katika kiwango chake halisi. Na siyo kile kiwango alichotuonesha kule Zanzibar kwenye Mapinduzi cup 2023!
 
Hata sarpong na mugalu walipoondoka Tanzania wanakiwasha sio mchezo bongo wanapigana misumari kinoma

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Yuko kwa mkopo msjali akiwaka atarudi tu jangwani
 
[emoji1268] Lazarous Kambole aliyepo kwa mkopo ZESCO kutoka YANGA. Tayari anagoli 3 katika michezo yake 2 ndani ya Zesco .

[emoji909] Mechi 2
[emoji460] Magoli 3.View attachment 2507497
Ligi ya Tanzania ngumu sana hasa ukisajiliwa kwa mbwe mbwe kina Juma Nyosso na ile mibeki ya Prison inakukamia balaa! Mguu wa shingo mguu wa roho. Zambia ligi yao laini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…