Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
🇿🇲 Lazarous Kambole aliyepo kwa mkopo ZESCO kutoka YANGA. Tayari anagoli 3 katika michezo yake 2 ndani ya Zesco .
🏟 Mechi 2
⚽ Magoli 3.
🏟 Mechi 2
⚽ Magoli 3.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mshambuliaji wa Yanga au wa Zesco? Au tufanye hivi, Tuisila Kisinda ni winga mwenye mbio kali wa RS Berkane au wa Yanga?Mshamuliaji Hatari wa Yanga Lazaros kambole kaanza kwa kishindo Ndani ya Zesco United
Mchezaji ni Mali ya yanga kule yupo kwa mkopoNi mshambuliaji wa Yanga au wa Zesco? Au tufanye hivi, Tuisila Kisinda ni winga mwenye mbio kali wa RS Berkane au wa Yanga?
Next Season tutakuwa nae kule anatafuta fitness kurudi kwenye ubora wakeBinafsi natamani kumuona akiwa katik chake halisi. Na siyo kile kiwango alichotuonesha kule Zanzibar kwenye Mapinduzi cup 2023!
Kwa mkopoo ? Sio kusema.mmeshamalizana nae🇿🇲 Lazarous Kambole aliyepo kwa mkopo ZESCO kutoka YANGA. Tayari anagoli 3 katika michezo yake 2 ndani ya Zesco .
🏟 Mechi 2
⚽ Magoli 3.View attachment 2507497
Kwa hiyo hayo mabao matatu ni ya Yanga?Mchezaji ni Mali ya yanga kule yupo kwa mkopo
Ligi ya Tanzania ngumu sana hasa ukisajiliwa kwa mbwe mbwe kina Juma Nyosso na ile mibeki ya Prison inakukamia balaa! Mguu wa shingo mguu wa roho. Zambia ligi yao laini.[emoji1268] Lazarous Kambole aliyepo kwa mkopo ZESCO kutoka YANGA. Tayari anagoli 3 katika michezo yake 2 ndani ya Zesco .
[emoji909] Mechi 2
[emoji460] Magoli 3.View attachment 2507497