This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Mambo ni Gwede gwede!Kitu kizitoo....Thimba yakihuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ni Gwede gwede!Kitu kizitoo....Thimba yakihuni
Huyo ndo fundi MaikoYupo striker mmoja anaitwa Bakambu, ana macho kama ndula, ukimuona Bakambu alivyo unaweza sema leo kazi ipo, ni striker ambaye ana kiwango cha kawaida mno lakin kocha wa DRC alikuwa akimpanga kila siku badala ya Fiston Mayele.
Bakambu ana bahati ya mtende, licha ya uwezo wake mdogo sana lakini ameonekana bado mali huko Ulaya, ametoka Galatasaray na sasa amepelekwa Real Betis.
Bakambu ni striker zoba kweli kweli, katika wachambuliaji zoba niliowaona kwenye AFCON basi Bakambu alikuwa namba moja.
Sijui imekuwaje Bakambu anacheza soka ulaya.
Wakati mwingine katika maisha ukiwa na kismart basi everything is going to be okay.Ndio Bakambu.
Sasa Tanzania kuna Bakambu mwingine anaitwa Freddy Michael, Simba ilipomsajili niliangalia YouTube kuona skills zake, nikamcheki na Pa Omary Jobe
Nilimuona Pa ni mzuri sana kwa sababu alikuwa anafunga magoli katika mazingira magumu sana.
Nikawa najiuliza pale nilipokuwa nikiwasikia watu wakimsifia Freddy, nikawa sipati picha, nikajisemea ngoja nione.
Kweli nimeyaona, kwa Freddy ni mara 100 juu asimame John Bocco Adebayor.
Freddy hana uwezo wa kumzidi Bocco, tumeshampa muda naona ndio yule yule, mlaiiini kama Bakambu.
Hivi Freddy na Mugalu nani ana afadhali.Freddy na Kagere nani ana nafuu.Freddy huna uwezo, rudi kwenu kudadeki.