Mshambuliaji Mpya Yanga: Misimu mitatu amefunga magoli 24

Mshambuliaji Mpya Yanga: Misimu mitatu amefunga magoli 24

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Katika usajili makini waliofanya Yanga kuimarisha striking force ni pamoja na kumsajili mshabuliaji Ajibu kutoka Simba.

Kumbukumbu za Ajibu zinaonyesha kuwa kwa misimu mitatu amefunga goli 24 ambapo ni wastani wa magoli 8 kila msimu. Katika club aliyekuwa akichezea Ajibu amezidiwa mabao na winga Shiza Kichuya aliyefunga mabao 12 licha ya kuwa sio mfungaji

Huyu ndio Ajibu mshambuliaji matata wa Yanga
 
Striker wa Yanga ni
1.Donald Ngoma
2.Amis Tambwe
3.Obrien Chirwa


Ibrahim Ajibu ni kiungo mshambuliaji na alifunga magoli machache sababu alikuwa anachezea timu mbovu ya mchangani ambayo katika misimu 5 iliyopita nafasi ya juu waliyomaliza ni nafasi ya pili
 
Hii dawa ya Ajibu inawauma sana mikia wanajaribu kila namna ila wakikumbuka lazima wamwage chozi...[emoji23][emoji23]
Ivi mikia ana misimu mingapi bila VPL?heee heee heee na msimu huu tena tunawapitisha wima.
 
Maneno ya wakosaji hayo..7 up..7G..sabasaba..wiki acheni maneno ya mkosaji
 
Kumbe na wewe ni mjinga kiasi hicho kiasi kwamba hujui kuwa Ajib ni kiungo?
~APM~
 
Striker wa Yanga ni
1.Donald Ngoma
2.Amis Tambwe
3.Obrien Chirwa


Ibrahim Ajibu ni kiungo mshambuliaji na alifunga magoli machache sababu alikuwa anachezea timu mbovu ya mchangani ambayo katika misimu 5 iliyopita nafasi ya juu waliyomaliza ni nafasi ya pili

Kulia Chirwa, kushoto Ajib, mbele Tambwe na Ngoma, katikati Kamusoko. Ndio watajua kuwa Ajib ni kiungo mshambukiaji. Hivi kwa line up hiyo unatokaje kwa mfano.
 
Ajibu nae ni striker kumbe?? Kama hujui bora kukaa kimya..
 
Back
Top Bottom