Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Billy Vigar, a former Arsenal academy player, has tragically died aged 21.
Vigar was placed into an induced coma after suffering a serious brain injury whilst playing for Chichester City last weekend.
Our thoughts are with his friends and family at this time. RIP Champ 😔
=============
Mshambuliaji wa Chichester City, Billy Vigar, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 21 baada ya kupata jeraha kubwa la ubongo katika mchezo uliochezwa Jumamosi iliyopita. Mchezaji huyo wa zamani wa Arsenal alijeruhiwa kwenye mchezo wa Isthmian League dhidi ya Wingate & Finchley, hali iliyosababisha mchezo huo kusitishwa baada ya dakika 13.
Chichester walisema katika taarifa yao:
“Baada ya kupata jeraha kubwa la ubongo Jumamosi iliyopita, Billy Vigar aliwekwa kwenye usingizi wa kulazimishwa (induced coma). Jumanne alihitaji kufanyiwa upasuaji ili kuongeza nafasi ya kupona. Ingawa hatua hiyo ilisaidia, jeraha hilo lilikuwa kubwa mno kwake na alfajiri ya Alhamisi alifariki dunia.”
Klabu hiyo ya daraja la saba, ikirejelea taarifa ya awali ya Jumatatu kuhusu hali ya Vigar, iliongeza kusema:
“Maoni na mwitikio wa watu kwa taarifa ile ya awali yanaonyesha ni kwa kiasi gani Billy alithaminiwa na kupendwa ndani ya mchezo huu. Familia yake imepata msiba mkubwa kuona jambo hili limetokea wakati akicheza mchezo alioupenda sana.”