Mshambuliaji wa Wolfburg afungiwa kisa kugoma kusaini jezi yenye rangi za upinde

Mshambuliaji wa Wolfburg afungiwa kisa kugoma kusaini jezi yenye rangi za upinde

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua.

Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
 
Kwa msiomjua jamaa ana misimamo mikali juu ya wasenge
Screenshot_20241009_215655_Gallery.jpg
 
Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua.

Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
Picha ya Jezi iko wapi?
 
can you prove it to me before insulting them..?
You can Google mkuu hyo familia kwanza wanaowa wenyewe kwa wenyewe yaani huruhusiwi kuoa nje ya familia they control many president in the world na ndio huwa wana mamlaka ya bei kwenye soko la mafuta duniani.
 
Back
Top Bottom