maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
-
- #201
Ni shetani,Mwovu.....na mchonganishi kati ya Watu na Muumba wetu,kwa ushawishi wa matendo maovu kwa upana wake,Mimi nungekuomba utufafanulie tu kwanza kumhusu shetani. Asante nasuburia majibu.
sikushawishi kaka,Nakuonya....kama mtu akaambiwa nyumba yako inaungua,na yeye akasema haiungui ila ni joto tu limezidi,hapo hushawishiwi unaonywa,wewe upo ndani huoni sisi tupo nje tunaona ,watch out!hujanishawishi hata kidogo kutofuatilia threads za huyu jamaa. kwa ufupi namkubali sana na mmoja ya watu wanaonikosha kwa mada na maoni yao. vivaa Mshana Jr.
inawezekana kabisa,Maana si Rahisi kuona Mtu wa kawaida anazungumzia ulozi na kuungwa mkono na watu wengi hv na ambae anaonya anaambiwa yeye ndo mlozi,by the way MUNGU,hataniwi wala Hadhihakiwi,Majibu yake ni ya Uhakika na ya Haki,Angalia kinywa chako kaka,maana Hata huyo mshanajr atakukana,mbele ya Utukufu wa MUNGUKwa kauzoefu kangu kadogo tu watu wengi ambao hawapendi kuzungumzia au kuzisikia ishu za ulozi wenyewe ndio wanatisha kwa kufanya hizo mambo.
kama kweli ww ni Interior Designer,na unaongea upuuzi huu,naamini hupati kazi yoyote ya maana ndo maana unashinda humu mitandaoni,huku hata jina lako ukishindwa kuliandika vizuri,inawezekana umemaliza Veta,fani CatographerZima data
Kumjua Shetani ni Kumfuata,haiwezekani katika Process ya kumjua tu Ukatoka Povu namna hii,una Maslahi Binafsi lazmaWe mleta mada, ivi kwann usifanye yako ??
Huwez kua Mkristo kamili kama humjui Shetani na jinsi anavyo operate. Kumjua si kumfuata.
Acha Balaa.
Unaniambia MM au mshanajr? kama Nguli kama Sir Isack Newton aliwahi kukiri kwamba sehemu sahihi unapoweza kupata uhakika wa uwepo wa binadamu ni kwenye Biblia,na theory nyingine zote hazina mashiko,wewe U nani Hata upate Ujasiri wa Kukiri kwa kinywa chako kilichojaa Laana KUU,kwamba MUNGU hayupo? kwa Elimu,Weledi,Ukuu,Pesa,Akili,Sifa au chochote kile cha kumzidi Sir Isack Newton? U Nani wewe? wapagani wengi,kama nyie huwa Mnajionyesha mbele za watu ili kupata sifa tu,hamna lolote lingine lenye Mantiki,linalowafanya kuwa wapagani....ni ufinyu wa akili,na ubishi usio na maanaShetani hayupo. Sema jingine.
Elimu ya Mashetani na Machukizo kwa MUNGU ni ya wapi,? ya darasani au ya Dini?Watz wengi hawajui kama kuna elimu zaidi ya shule na dini. Hawajui kama spirituality ni elimu kubwa sana ambayo imekatazwa na walioijua kabla.
Vitu vingine ni sayansi kabisa lakini kwa vile tulifungwa hatukubali. Kwa mfano. Meditation inafundisha kuvuta hewa na kupumua. Sayansi inasema bacteria, virus na microbes huuwawa kwa oxygen.
Wadudu hao hawawezi kuishi penye oxygen.Mtu akikosa oxygen anakufa. Hapa ndipo ukimwambia Mtz kuwa hydrogen Peroxide 35% inatibu magonjwa hatari kama cancer watakucharukia mbaya. Ukimwambia energy ya binadamu inatakona na oxygen hakuelewi.
Madaktari wote hawawezi kukuambiaa hilo kwa sababa nao wako cartel ya madawa ya binadamu ambayo ni mult trillion business.
Through meditation tunajitibu miili yetu na faida nyingi tu.Sio ushetani. After all shetani hakufanyi ufanye dhambi.Anakushawishi tu usimtii huyo unayemwita mungu na usipokubali basi hana madhara. Ukifika mwisho wa kufikiri watu huanza kumsingizia mungu au shetani. These are purely spirits which do not do anything until you do it yourself through your mind
Amkeni elimu sio dini au darasani tu.
Bora mm nilijifunza mdogo na sasa nafanya maamuzi nikiwa mtu mzima,tofauti na wewe unaejifunza kila kitu sasa hv ,na hujui kipi ni kipi....Cult!Haya ndo Matatizo ya kukaririshwa vitu toka mdogo badala ya kujifunza na kuelewa
Usikiri mbele za watu kwamba uko katikati ya MUNGU na shetani...na hujaamua unaenda wapi,MUNGU hadhihakiwi,sio Kikwete wala Obama,Huyo ni MUNGU mwenye Nguvu zisizo na UKOMO.nimesoma thread nzima na kila comment na page zake zote. kwakweli nimeishia kuchanganyikiwa. kichwa kinagonga na ninahitaji hedex
#mimi ni yule mwenye kuchukuliwa na kila upepo wa elimu# nipo njia panda
kwa misingi ya Imani Yangu,hata Kama ingekua Mibovu kwa namna Gani,Bado haiwezi kulinganishwa kwa namna yoyote na imani yoyoyte ya Kishirikina,na evil societies....usimchanganye MUNGU na wengine...GOD IS THE CONQUERER of all FAITHNadhan kama kuna kitu ambacho kinamfanya mtu kuwa mpumbavu na lofa wa kisasa....ni kule kukataa kujifunza kitu kipya...au kutokuwa tayari kuhoji misingi ya imani yako in light of available evidence...!
Biblia imejipinga yenyewe pengi tu.Unaniambia MM au mshanajr? kama Nguli kama Sir Isack Newton aliwahi kukiri kwamba sehemu sahihi unapoweza kupata uhakika wa uwepo wa binadamu ni kwenye Biblia,na theory nyingine zote hazina mashiko,wewe U nani Hata upate Ujasiri wa Kukiri kwa kinywa chako kilichojaa Laana KUU,kwamba MUNGU hayupo? kwa Elimu,Weledi,Ukuu,Pesa,Akili,Sifa au chochote kile cha kumzidi Sir Isack Newton? U Nani wewe? wapagani wengi,kama nyie huwa Mnajionyesha mbele za watu ili kupata sifa tu,hamna lolote lingine lenye Mantiki,linalowafanya kuwa wapagani....ni ufinyu wa akili,na ubishi usio na maana
wewe Hata Sikujibu.....you are Just a GroupieKama ulichokisema unamanisha nakuhurumia.Kwa hiyo huendi kanisani kumwabudu Mungu unaenda kurefresh you mind.Kazi ipo.
asome Masomo ya Kiroho yapi hayo ambayo hutaki kuyainisha Hapa,Be straight mwambie akitaka kuelewa Wema wa MUNGU asome BIBLIA.....Period,acha uchawi wako hapa,Wapare bana!Soma masomo ya kiroho utapata ufahamu mkubwa kuhusu habari za Mungu miungu shetani ibilisi mapepo majini vibwengo vinyamkera malaika etc
kuna kitu unachanganya hapa. vipi hua unasoma mada zake huyu unayemwita agent wa lucifer na kuzielewa? kuna mahala hua huyu comrade anashawishi na kuhamasha watu kua walozi? weka mada mbaya zaidi ambayo huyu agent alikuja nayo jamvini. ubaya au uzuri wa kitu unaanzia akilini. btw asante kwa rai na ushauri!sikushawishi kaka,Nakuonya....kama mtu akaambiwa nyumba yako inaungua,na yeye akasema haiungui ila ni joto tu limezidi,hapo hushawishiwi unaonywa,wewe upo ndani huoni sisi tupo nje tunaona ,watch out!
Na Hii Ina maana hata wewe Hujaelewa Kinachoendelea hapa kwa hiyo either,Unaunga Mkono Ulozi wake,au Hutaki kukubali Ukweli au Hujitambui tu...kama wale wanaume ambao hawajitambui....Nina wasi wasi hata mtoa mada nae hajui alichiandika.....
umejiunga Jan 2015 na leo Unatoka Povu kama vile Umetoka sudan Kusini,pole kaka dini yako Hairuhusu wewe kuchangia hapa maana unashindwa kuitetea....Shetani wa Chooni wewe! Toka...Agent wa shetani ni wewe,"wewe no shetani"
ni kweli ila namna anavyozifichua hizo siri za huko kuzimu ni kama anawainspire na kuwafundisha wakifanye hicho ambacho anawaambia...he is the Trainer,and not a Trainee