Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Teh teh Bwana wangu yu hai ana uweza na sio uwezo, yeye huelekeza katika mema na baraka lakini wapumbavu humkataa na kusema hakuna MUNGU kisha hupotoshwa na kila aina ya elimu wanayopewa maana hawakumchagua yeye aliye ELIMU na HEKIMA. Mjue sana MUNGU ili uishi kwa amani.
 
Asante ndugu,me mwenyewe nilishasita kuingia kwenye jukwaa Lao LA intelligence..... Naamini only Holy Bible is the standard of my life.

Standard of your life wakati juzi umenivurumushia mimatusi mikubwa hiyoo??
Sasa kwa mitusi ile sisi tusiosali mtatuvutaje huko kwa Mungu?
Kiukweli haipendezi washika dini mkawa mnatukana kama sisi tusioamini.(Ni mtazamo tu)
 
Neno la busara
 
mjomba hakuna MLEVI HATARI kama MLEVI WA DINI ....hata wa madawa ya kulevya hawafui dafu
 
View attachment 281821hayo ni mafuta ya mzeituni na matunda yake paka usoni na viganjani Changanya na chumvi kidogo Halafu nuizia mambo yako
Mshana Jr mimi naona uendelee na masomo yako maana tunao faidi ni wengi kuliko hao wachache halafu mkataa ya wengi yeye ndye mchawi,na kila kitu kilichopo dunia Mungu amekileta kwa maksudio yake,ukiona unapotoshwa usifungue kusoma,watu kama nyie msio penda wenzenu wapate Elimu mbali mbali hamfai kizuri kula na mwenzio
 
Jamaa amekupaisha sana nahc hata ambao walikua hawajui wamekujua,amekupigia promo la nguvu
 
Jamaa amekupaisha sana nahc hata ambao walikua hawajui wamekujua,amekupigia promo la nguvu
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115]
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Nyie ndo wale manabii wa uongo mnaemuona Mshana Jr ni adui kwenu anayewapotezea wafuasi kwa mazingaombwe yenu madhabahuni...hatumwogopi na hatutoogopa anachokiandika kamwe....maana mnajua tutaujua ukweli yaliyo wazi na yaliyojificha katika dunia hii...
 
Hahahaaa msamehe bure
 
Shetani ni nani ?
Kwa mujibu wa Biblia alikuwa ni malaika kule mbinguni lakini alimwasi Mungu aliyemuumba na kutolewa huko na kusubiri hukumu ya moto wa milele pamoja na wafuasi wake.
Uzuri ni kuwa akishazeeka anakuwa malaika tena.
 
mshana jr Endelea kushusha mawe juu ya mawe mpaka siku uje ukae juu ya mawe.wengine waje wazaliwe juu ya mawe waendelee kuyatumia hayo mawe.....dunia ina mambo mengi na shulen hayafundishwi...Mimi nashukuru mada za humu jf kuhusu mambo ya kiroho yamenisaidia kusolve baadhi ya matatizo baada ya kutambua tiba nzuri ni ipi kati ya ibada kwa Mungu na tiba kwa upande wa pili......God bless u Mshana Jr....
Imani ikipitiliza, unakufa ukiwa mjinga. Angalia kwa mfano, kote walikozaliwa mitume ni shida tupu. Sometimes, kwenye maisha BUSARA NA HEKIMA ni vitu vyema sana.
 
Back
Top Bottom