Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Tujaribu kuwa open minded

Mshana anaongea aliyokutana nayo sijajua huo uagent kaupatia wapi Na Lini alikaa Na huyo shetani

Dunia haipo rahisi Kama tunavyoichukulia
Tuwe philosophical zaidi kuliko emotional at least tutaendelea
yang kinachotokea ni kwamba nimeamua kuvunja mwiko na kuongea kwa uwazi yale ambayo yalidhaniwa kuwa ni taboo kuyaongelea au la kuyajadili kwa uwazi na undani
Lakini pia bado ningependa kusema kuwa mtoa mada ana haki zote za kuandika mtazamo wake kwa uwazi kabisa alimradi tu kazingatia kanuni taratibu na sheria za JF. Binafsi na kipekee nampongeza sana
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt Heri yako umejibiwa...yaani mi swali langu kanigomea kunijibu, hajui navyoteseka kwa ajili ya baby wangu!

Hahhahaaaaa pole shosti... Huteseki kama mi ninavyoteseka

1440867030034.jpghayo ni mafuta ya mzeituni na matunda yake paka usoni na viganjani Changanya na chumvi kidogo Halafu nuizia mambo yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom