Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mkuu kila mtu na imani yake, wewe unaona anachofundisha ni imani ya kishetani wenzio wanaona ndio imani bora wa jamii,..Kwa ufupi kila mtu ana haki ya kukiabudu kile anachokitaka...
,
Uislam;ukiristo,Uyahudi ni dini zilizotoka mashariki ya kati na hizi dini zote zimetoka sehemu moja,Kuna watu kama wajapani wengi wao wanafuata dini ya Kibuda(Budism) na wamepiga hatua kimaendelo ya kijamii,kiuchumi kimazingira nk,kushinda nchi nyingi zenye waumini wa kikiristo,au Uislam..

Hamna dini ya Kishetani,Shetani ni yule binaadamu anaefanya mambo ya Kishetani,..
 
Kwani hizo mada anakuandikia wewe?? Au ukoo wenu ??
Aliposema "Watuwangu wanaangamia kwa kukosa maalifa" Unazani hayo maalifa niya Biblia au Qirwn tu!
Alafu usije mshutumu kuwa Agent wa shetani wakati amlizake tu ukizivunja hata moja we ni Agent pia wa shetani
Au wewe ndo mtakatifu zaidii....

Kama wewe ulivyo toa Maoni yako Mwache na yeye pia afanye anavyo jua kila mtu anavuta punzi kwa pua lake

Hajalazimisha mtu afate wengine hapa tupo kujifunza vyote jema na baya ili tujuwe wapi sahihi
 


Kujua Elimu na ujuzi ni kitu kimoja na Kulowea huko na kuishika ni kitu kingine!
Kwa Taarifa yako ni vizuri kumjua adui kuliko kumkimbia bila hata kumuona kwa macho au kusikia sauti yake.
 
nilisha acha kusoma mada za Mshana, kind of demonic teachings... mafundisho yake hayako mbali na mafundisho ya kishetani
 
Na siku zote jamaa wamekifaulu sana walichokihitaji wameufanya ukweli uonekane uongo na uongo uwe ukweli halisi. Ndiyo maana siyo ajabu kuitwa mpinga kristo au mchawi all in all anayesema hivyo hakijui anachokiamini kimetokea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr anataka shilingi ngapi? Au haya mateso tunayoyapata hamuyaoni yani wanaondoka wakina Ruge na Kibonde wkt huu MZIMU upo tu km mnataka kondoo au chochote ntatoa tumpige tuta huyu
 
Hujui ulichoandika mkuu, we ndo mchawi, nuru na Giza havikai pamoja. Alafu inaonekana una ujinga ujinga flani hivi jichunguze.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilisha acha kusoma mada za Mshana, kind of demonic teachings... mafundisho yake hayako mbali na mafundisho ya kishetani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…