Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Mshana Jr, agent wa Shetani JF?

Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..

Umetumia njia gani kujua wanaotaka kuyajua hayo ya mshana jr ni wakristu?
 
20240822_140219.jpg
 
Jiandae kwa ibada ya Jumapili 15 September, 2024.

Kesho Tarehe 15/09/2024 ni Siku ya Bwana ya 16 baada ya Utatu Mtakatifu:

Masomo ya Siku
Zaburi ya siku : Zab.119:145-152
Somo la Pili: Mt.12:9-14
Somo la Mahubiri: Gal.5:13-15

VVVVVVVVVVVVVVVVVVVVV

Zaburi ya siku
Zab.119:145-152
145 Nimeita kwa moyo wangu wote; Ee Bwana, uitike; Nitazishika amri zako.

146 Nimekuita Wewe, uniokoe, Nami nitazishika shuhuda zako.

147 Kutangulia mapambazuko naliomba msaada, Naliyangojea maneno yako kwa tumaini.

148 Macho yangu yalitangulia makesha ya usiku, Ili kuitafakari ahadi yako.

149 Uisikie sauti yangu sawasawa na fadhili zako, Ee Bwana, unihuishe sawasawa na hukumu yako.

150 Wanakaribia wanaonifuatia kwa chuki, Wamekwenda mbali na sheria yako.

151 Ee Bwana, Wewe U karibu, Na maagizo yako yote ni kweli.

152 Tokea zamani nimejua kwa shuhuda zako, Ya kuwa umeziweka zikae milele.

Zaburi 119:145-152

``` VNNNNNNMMMMMMNNNNNNVVV
Somo la pili:

Mt.12:9-14

9 Akaondoka huko, akaingia katika sinagogi lao.

10 Na tazama, yumo mtu mwenye mkono umepooza; wakamwuliza, wakisema, Ni halali kuponya watu siku ya sabato? Wapate kumshitaki.

11 Akawaambia, Ni mtu yupi miongoni mwenu mwenye kondoo mmoja, na yule kondoo ametumbukia shimoni siku ya sabato, asiyemshika akamwopoa?

12 Je! Mtu ni bora kuliko kondoo mara ngapi? Basi ni halali kutenda mema siku ya sabato.

13 Kisha akamwambia yule mtu, Nyosha mkono wako; akaunyosha, ukapona, ukawa mzima kama wa pili.

14 Lakini wale Mafarisayo wakatoka wakafanya shauri juu yake jinsi ya kumwangamiza.
Mathayo 12:9-14
VVVVBBBBBBBBBBBBBBBBBB

Somo la Mahubiri
Gal.5:13-15

13 Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo.

14 Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.

15 Lakini mkiumana na kulana, angalieni msije mkaangamizana.
Wagalatia 5:13-15
 
Maarifa ya ushetani ndio ushetani wenyewe......Mpare unasemaje hapo ?
 
Huyu ni zaidi ya agent wa shetani ni msaidizi wake kabisa wa cheo cha juu
 
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...

Sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF... Na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....

1) Kuweni makini na anayoyasema
2) Na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3) Mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4) Na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5) Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu

Hayo ni maoni yangu..
Another NUMB WRITER AND A SHALLOW THINKER
 
Anaelimisha watu kuhusu ulimwengu wa roho. Amenifundisha mengi sana. Mtu anafanikiwa ghafla na kuishia kusema Mungu kampa. Kampa kwani yeye ana vichwa viwili? Si binadamu anakwenda choo kama mimi? Mshana kanielimisha kuhusu maujanja ya ulimwengu wa roho. Nilikumbatia sana ukristu, nikagundua ni mchongo tu wa Wayahudi, hakuna Mungu anaetoa kafara. Imani ya kweli ni ile ya jadi yako na si vingenevyo.
 
Back
Top Bottom