maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
- #221
Uchawi huo...kimbia uuache mbali sana maana...LAANA yake ni laana kuu...You see! Nawe mwenyewe ushaanza kupata mzuka wa kufahamu teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi huo...kimbia uuache mbali sana maana...LAANA yake ni laana kuu...You see! Nawe mwenyewe ushaanza kupata mzuka wa kufahamu teh
halafu mnasema anafundisha mambo mazuri ya kujitambua....vijana wa sku hz sijui bwana....Kama uko serious andaa ungo mnazi wa njiapanda, ndulele tisa, usinga kaniki mbili na damu ya kuku tetea na pembe ya Ng'ombe
kama hiyo uliyomfundisha ya kwenda kumloga mumewe ...mnatesa watu mno .....Malipo yenu hayatasubiri mwisho wa Dahari,Ni hapa hapa Duniani...Chakula hakipikwi ili kitupwe itakuwa ni ujuha.. Kila kitu katika maisha kinafanywa au kufanyika kwa lengo au kwasababu maalum
Haya banaTawile nipo serious nipo tayari
ina maana hujui Hawara yako ni Mchawi mkuu hapa JF? Utakufa Mdomo Wazi wwUmekua kigagula sikuhizi?
Huo Mchezo Umelaaniwa hadi kwenye BIBLIA, Miji ya sodoma na GOMORA iliangamizwa kwa moto wa kiberiti, take it as a warning though....MonkNever on earth njoo kule pembezoni nikufundishe kale kamchezo
Sikutishii....ni uamuzi wako kuamua cha kuchagua MUNGU au shetani.....huyo ni Agent tuMleta mada huna point ila unavitu unavyoamini wewe na unataka watu wote waamini hivyo kwa kuwatisha badala ya kutoa point ili waijue kweli na waifate.
Hii JF imejaa wachawi na walozi ...tena hawajifichi,Mimi namharibia nn huyu mshanajr? kuna biashara iko nyuma ya hii kitu au...haya ila penye ukweli patasemwa tu....Anahamisha watu wa MUNGU kwa kuwafundisha Uchawi...hiyo iko waziJambo km waona halikufai ni vyema kuachana nalo na kufanya yanayokuhusu, si jambo jema kumharibia mwingne kwa kuamini mawazo yako na mtazamo wako ni bora zaidi.
Lait km Mshana Jr angekuwa anatoa dawa ya kutibu UKIMWI ungekuwa mtu wa kwanza kuwashawishi watu wamfuate. Lakn kwa sababu anayoyatoa sio choice yako unatoa tafsir na kuyaona mabaya.
!!!!!Think Twice !!!!!!!
hujawahi kusoma makala zake......kama unaendelea kumtetea...jitahidi uondoe hiyo signature yako maana unamkufuru MUNGUmbona jina lako lina maaaaana "maisha popote" mwache bwana afanye maisha ya kuelimisha jf
we nishakujib....wivu haujengi tengeneza thread zako na ww utuletee ulicho nacho sio kuwafitinia wenzako,
kama umeacha kwann bado unawafundisha watu kuloga na ukiwatajia na mchanganyiko kabisa?....acha werevu wa kitotoMNANSO usisumbuke kuhusu kunikumbusha kwakuwa si kwamba sijitambui..ukiniona naandika haya leo ujue ni vitu vilivyokwisha pita...nilivisoma nikavipractise nikaishi navyo for the good ten years...kwasasa sipo huko na ninajua kwa hakika kwanini naandika haya
Great....and a very dangerous Mission...yeye pekee ndo anajuanaamini kuna misheni anapaswa kuikamilisha huyu anaye zungumziwa hapa. Hata kama anadai aliyapitia aliishi navyo na sasa hayuko tena huko but naamini kuna kitu nyuma ya pazia.
as long as mwenyewe kasema ANAJUA KWANINI ANAANDIKA HAYA MAMBO SASA.
Nikiwaeleza hamuelewi,,,,,oneni kwa macho yenu....na Muonektk mazingira kama haya na mafundisho yake kama ndiyo hayo huyo aliyemwita ajenti wa shetani hajakosea.
Hee....ina maana hujui Hawara yako ni Mchawi mkuu hapa JF? Utakufa Mdomo Wazi ww
Huyo Mshana Ni Maarufu Humu kuliko Hata Waziri wa Elimumaishapopote
Huyo anayejiita Mshana Jr. Wala asikusumbue, hana lolote alijualo huyo, yeye kazi yake kukopi na kupesti ujinga uliozagaa kwenye mtandao.
Hana alichosomea Afrika Kusini wala Kaskazini.
SI KWELI.Huyo Mshana Ni Maarufu Humu kuliko Hata Waziri wa Elimu
asome Masomo ya Kiroho yapi hayo ambayo hutaki kuyainisha Hapa,Be straight mwambie akitaka kuelewa Wema wa MUNGU asome BIBLIA.....Period,acha uchawi wako hapa,Wapare bana!
Usipitilize tafadhali ongea pumba zako zote lakini nilenge mimi binafsi usuhusishe kabila langu imani yangu na hata familia yanguWakati unachanganua aina mbali mbali za kuwaloga watu ulikua hujui unamkampenia Boss Gani? Badilika mzee,pamoja na wapare kufukuzwa uchagani kwa hayo mambo yenu bado mzee hujajua uko upande Gani?