Natamani kujua kilichoendelea baada ya kila mtu kuweka karata zake mezaniπππSiku zikikatika na ndipo juzi @Miss Natafuta ananiletea umbea mpya kuwa eti kule honey moon, @Mshana Jr aliamua kuweka wazi madhaifu yake kwa mkewe kuwa bila kupiga jibapa la Konyagi tendo la ndoa linamboa, ndipo na yule mrembo wa kilokole akatoa KY gel yake na kusema bila kuzibuliwa mtaro haioni raha ya dunia.
tumwite chamdeko?π±π±πππ
hii fasihi tamu
hahahh we kweli bigmind sikua nimeunga hiyo!.. Inabidi huyu Demiss atuendelezee story!.Umepatikana demise chamdeko aliokoka lini, mshika mbili moja laza idondoke..!
Sent using Jamii Forums mobile app
haina kirefu!..