Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani kujua kilichoendelea baada ya kila mtu kuweka karata zake mezani😀😀😀Siku zikikatika na ndipo juzi @Miss Natafuta ananiletea umbea mpya kuwa eti kule honey moon, @Mshana Jr aliamua kuweka wazi madhaifu yake kwa mkewe kuwa bila kupiga jibapa la Konyagi tendo la ndoa linamboa, ndipo na yule mrembo wa kilokole akatoa KY gel yake na kusema bila kuzibuliwa mtaro haioni raha ya dunia.
tumwite chamdeko?😱😱😀😀😀
hii fasihi tamu
hahahh we kweli bigmind sikua nimeunga hiyo!.. Inabidi huyu Demiss atuendelezee story!.Umepatikana demise chamdeko aliokoka lini, mshika mbili moja laza idondoke..!
Sent using Jamii Forums mobile app
haina kirefu!..