tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Mkuu wanaingalia UEFA. Wewe wazungumzia striker wa Vodacom Premier League?Kweli mkuu,mi mwenye nina likes 140 kwa sms 960,ukifanya conversion namzidi mtu mwenye sms 3000 akiwa na likes 300,sijui katumia mfumo gani?
Off Course weye ni mmoja wa watu makini sana hapa JF, Michango yako ina akili nyingi sana na you always speak your mind.I believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...
nafikiri accuracy yake sio kubwa
kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mshana anatumia ndumba ukimuona tu lazma ulike lol
Mleta thread sijui umewaza nini eeh haya
Hahahaah nashangaa eti nami nimo.Haaaa na mie niko katika list lols....
Off Course weye ni mmoja wa watu makini sana hapa JF, Michango yako ina akili nyingi sana na you always speak your mind.
Big up sana
Na wewe unatisha. Tubadirishane ID basi.Hahahaah nashangaa eti nami nimo.
Hivi hizi points zinatolewaje I mean trophy...!!!
Naombeni likes jamani
Hahahaah chukua tu mkuu. Maana nami nimeipenda yako. Tubadilishane...!!!Na wewe unatisha. Tubadirishane ID basi.
Haonekani siku hizi katika jukwaa lake?? Maana sijapita muda mrefu kule.Madame mambo?? Vipi siku hizi umeokoka mpendwa??
Hahahaah nashangaa eti nami nimo.
Hivi hizi points zinatolewaje I mean trophy...!!!
Haonekani siku hizi katika jukwaa lake?? Maana sijapita muda mrefu kule.
hii list naona hukuifanyia research vizuri,Nilikuwa naangalia conversion rate ya post kwa wachangiaji wakubwa ishirini wa JF. Ni sawa na kumtafuta striker bora mwenye shot conversion rate kubwa.
Nimeshangazwa kuona post za mshana jr kupata asilimia kubwa ya likes (14.4%). Anafuatiwa kwa mbali na akina Evelyn Salt (9.4%), The Boss (7.2%), miss chagga (6.7%), Mmawia (5.2%), Nyani Ngabu (4.1%) na wengineo.
Bahati mbaya sana JamiiForums - Official Robot ndio ina asilimia ndogo za likes (0.1%) na hivyo kuwa wa mwisho.
Ila kupata likes JF ni kugumu kama kusaka pesa. Ungekuwa mpira basi mshana jr ni kama Messi au Ronaldo!!!
1. mshana jr (14.4%)
Messages: 36,333 Likes Received: 5,237 Trophy Points: 113
2. Evelyn Salt (9.4%)
Messages: 29,211 Likes Received: 2,757
3. The Boss (7.2%)
Messages: 32,301 Likes Received: 2,315 Trophy Points: 113
4. miss chagga (6.7%)
Messages: 35,865 Likes Received: 2,419 Trophy Points: 113
5. Mmawia (5.2%)
Messages: 31,171 Likes Received: 1,633 Trophy Points: 113
6. Nyani Ngabu (4.1%)
Messages: 56,852 Likes Received: 2,359
7. Ruttashobolwa (2.4%)
Messages: 33,307 Likes Received: 789 Trophy Points: 113
8. MziziMkavu (1.8%)
Messages: 37,260 Likes Received: 680 Trophy Points: 113
9. FaizaFoxy (1.5%)
Messages: 44,596 Likes Received: 682 Trophy Points: 113
10. Asprin (1.5%)
Messages: 39,403 Likes Received: 602 Trophy Points: 113
11. Mzee Mwanakijiji (1.5%)
Messages: 32,372 Likes Received: 488 Trophy Points: 83
12. Katavi (1.4%)
Messages: 33,342 Likes Received: 472 Trophy Points: 83
13. Ritz (1.3%)
Messages: 39,504 Likes Received: 531 Trophy Points: 113
14. Heaven on Earth (1.1%)
Messages: 35,119 Likes Received: 403 Trophy Points: 83
15. BAK (0.4%)
Messages: 43,970 Likes Received: 177 Trophy Points: 0
16. Watu8 (0.3%)
Messages: 45,784 Likes Received: 132 Trophy Points: 63
17. Rutashubanyuma (0.2%)
Messages: 41,160 Likes Received: 75 Trophy Points: 48
18. MaxShimba (0.2%)
Messages: 36,640 Likes Received: 73 Trophy Points: 48
19. Kongosho (0.2%)
Messages: 36,170 Likes Received: 60 Trophy Points: 48
20. JamiiForums - Official Robot (<0.1%)
Messages: 41,671 Likes Received: 34 Trophy Points: 48
Wewe ni wa ngapi??Nilikuwa naangalia conversion rate ya post kwa wachangiaji wakubwa ishirini wa JF. Ni sawa na kumtafuta striker bora mwenye shot conversion rate kubwa.

Labda kwa sababu ni mwezi wa toba kwa wale ndugu zetu wakristu ndio kaamua kujiweka kando.........nahisi tu lakini sina uhakika hahahaahHaswaaa...!! Ameadimika kama noti zenye picha ya Raisi Mwinyi!!
Sasa ndugu yangu kulikuwa kuna haja ya Ku-quote Post nzima?...haya sasa ni matumizi mabovu sasa ya Jamiiforums.hii list ni batili, mimi nina likes karibia elfu halafu sipo kwenye list??