Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

mshana jr bila shaka atakua anatumia ndumba aiseee.

Yaani hata mie nikikuta tu Post yake naona inanipendeza machoni lazima nigonge like.

Kama si ndumba kuna kakitu hapo.
 
I believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...

nafikiri accuracy yake sio kubwa

kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....
Off Course weye ni mmoja wa watu makini sana hapa JF, Michango yako ina akili nyingi sana na you always speak your mind.

Big up sana
 
Off Course weye ni mmoja wa watu makini sana hapa JF, Michango yako ina akili nyingi sana na you always speak your mind.

Big up sana

Mkuu nashukuru i am humbled
hivi yule mrembo aliekudondokea hapa JF iliishiaje?
halafu umemtoa 'madenge' naona ambae ambae alikuwa anafanya warembo wakudondokee...
 
Kuna wengine humu LIKE zetu zilipotelea hewani baada ya Marekebisho mapya ya JamiiForums huwa sielewagi zilikwenda wapi?....Ila naamini jamiiforums kuna kale katabia ka kwenye magroup ya whatsapp au Facebook wanaangalia kapost nani?...Ila hizi LIKE hazitupi Shibe kikubwa hapa ni UZIMA TU.
 
Nilikuwa naangalia conversion rate ya post kwa wachangiaji wakubwa ishirini wa JF. Ni sawa na kumtafuta striker bora mwenye shot conversion rate kubwa.

Nimeshangazwa kuona post za mshana jr kupata asilimia kubwa ya likes (14.4%). Anafuatiwa kwa mbali na akina Evelyn Salt (9.4%), The Boss (7.2%), miss chagga (6.7%), Mmawia (5.2%), Nyani Ngabu (4.1%) na wengineo.

Bahati mbaya sana JamiiForums - Official Robot ndio ina asilimia ndogo za likes (0.1%) na hivyo kuwa wa mwisho.

Ila kupata likes JF ni kugumu kama kusaka pesa. Ungekuwa mpira basi mshana jr ni kama Messi au Ronaldo!!!

1. mshana jr (14.4%)

Messages: 36,333 Likes Received: 5,237 Trophy Points: 113

2. Evelyn Salt (9.4%)

Messages: 29,211 Likes Received: 2,757

3. The Boss (7.2%)

Messages: 32,301 Likes Received: 2,315 Trophy Points: 113

4. miss chagga (6.7%)

Messages: 35,865 Likes Received: 2,419 Trophy Points: 113

5. Mmawia (5.2%)

Messages: 31,171 Likes Received: 1,633 Trophy Points: 113

6. Nyani Ngabu (4.1%)

Messages: 56,852 Likes Received: 2,359

7. Ruttashobolwa (2.4%)

Messages: 33,307 Likes Received: 789 Trophy Points: 113

8. MziziMkavu (1.8%)

Messages: 37,260 Likes Received: 680 Trophy Points: 113

9. FaizaFoxy (1.5%)

Messages: 44,596 Likes Received: 682 Trophy Points: 113

10. Asprin (1.5%)

Messages: 39,403 Likes Received: 602 Trophy Points: 113

11. Mzee Mwanakijiji (1.5%)

Messages: 32,372 Likes Received: 488 Trophy Points: 83

12. Katavi (1.4%)

Messages: 33,342 Likes Received: 472 Trophy Points: 83

13. Ritz (1.3%)

Messages: 39,504 Likes Received: 531 Trophy Points: 113

14. Heaven on Earth (1.1%)

Messages: 35,119 Likes Received: 403 Trophy Points: 83

15. BAK (0.4%)

Messages: 43,970 Likes Received: 177 Trophy Points: 0

16. Watu8 (0.3%)

Messages: 45,784 Likes Received: 132 Trophy Points: 63

17. Rutashubanyuma (0.2%)

Messages: 41,160 Likes Received: 75 Trophy Points: 48

18. MaxShimba (0.2%)

Messages: 36,640 Likes Received: 73 Trophy Points: 48

19. Kongosho (0.2%)

Messages: 36,170 Likes Received: 60 Trophy Points: 48

20. JamiiForums - Official Robot (<0.1%)

Messages: 41,671 Likes Received: 34 Trophy Points: 48
hii list naona hukuifanyia research vizuri,
mimi nina likes 914 na post 2166
hapo ni 42%
hapa nimewapita wote
😀😀😀
 
Wewe ni wa ngapi??
 
Haswaaa...!! Ameadimika kama noti zenye picha ya Raisi Mwinyi!!
Labda kwa sababu ni mwezi wa toba kwa wale ndugu zetu wakristu ndio kaamua kujiweka kando.........nahisi tu lakini sina uhakika hahahaah
 
Back
Top Bottom