Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Hutaki vifuu vya Nazi!Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi.
Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF
Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana.
Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya nazi๐
Mara urembo kwa kutumia mbao, mara kilimo Cha kisasa hata kama nyumba Yako ni ndogo, Sasa jamani legend.
Ombi langu.
Threads zako za miaka 10 iliyopita bado zinaishi maisha ya Leo ila jitahidi kuongeza vitu baba.
Vijana tunahitaji maneno Yako ya busara hekima na hamasa
Usitusahau sana
Mshana Jr unawasoma hawa madogo?Sheitwan akizeeka anakuwa malaika.
Asante ndugu yangu KUKU MAJI ... Mshana Jr ni yuleyue kilichobadilika ni kutanua tu wigo wa maudhuiHuyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi.
Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF
Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana.
Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya nazi๐
Mara urembo kwa kutumia mbao, mara kilimo Cha kisasa hata kama nyumba Yako ni ndogo, Sasa jamani legend.
Ombi langu.
Threads zako za miaka 10 iliyopita bado zinaishi maisha ya Leo ila jitahidi kuongeza vitu baba.
Vijana tunahitaji maneno Yako ya busara hekima na hamasa
Usitusahau sana
HahahahaSheitwan akizeeka anakuwa malaika.
We have same vision , we chase the same mission. Kuna Wimbi kubwa sana la wasaka ajira na fursa nyuma ya hii keyboard. We all witnessed, kuna vitu vya kufanya hapa jf kwa sasa hasa kunyanyuana kimawazoAsante ndugu yangu KUKU MAJI ... Mshana Jr ni yuleyue kilichobadilika ni kutanua tu wigo wa maudhui
Harakati zangu nje na ndani ya JF zimenikutanisha na wimbi kubwa la wahitimu wanaosaka ajira.. Nimeona wengi wana mentality ya kuajiriwa kuliko kujiajiri
Mimi ni mdau wa mazingira na dhana nzima ya recycling... Huko kwenye waste kuna ajira na kipato kikubwa kuna utajiri pia
Mwaka huu niliamua kujikita kwenye mada za ubunifu ili kuchagiza wasaka ajira kujiongeza
Mada za ubunifu ni aina ya mada ambazo hazihitaji uchangiaji Sana bali kusoma zaidi.. Ni mada za picha tupu na maneno machache sasa si kula mtu anaweza kupata aina ya picha ninazopost
Serikali ikiamua kujikita kwenye ubunifu tena kwa kutumia malighafi za ndani tutatatua pakubwa Sana swala la ajira na kipatoWe have same vision , we chase the same mission. Kuna Wimbi kubwa sana la wasaka ajira na fursa nyuma ya hii keyboard. We all witnessed, kuna vitu vya kufanya hapa jf kwa sasa hasa kunyanyuana kimawazo
Hapo inatakiwa solid basement ya creativity in art! Wanatushinda wahindi aseeeSerikali ikiamua kujikita kwenye ubunifu tena kwa kutumia malighafi za ndani tutatatua pakubwa Sana swala la ajira na kipato
Kwakweli reaction ilikuwa kubwa na wwngi walivutiwa na baadhi ya vitu ila changamoto ikawq kwa mafundi wetuMshana.
Anachofanya hataki kumuacha MTU nyuma , hivyo nadhani kwakuwa ameshatoa maudhui mengi ya kijamii sio mbaya pia akatoa maudhui katika majukwaa ya Ubunifu , kilimo ,Biashara na teknolojia.
Hizi mada zake ni nzuri Sana.
Maana kuna MTU aliona Fensi ya mihanzi hapa jukwaani
Na huyo MTU yupo nje alichofanya ni yeye kuiga huo ubunifu na hiyo Kazi aliifanya jamaa mmoja na kupata kipato kizuri.
So Mkuu unaweza fanya jambo ukawa unahisi either halifiki au hallikugusu wewe Ila kuna watu wanafaidika kwa njia moja au nyingine
Mfano ile fensi ya mihanzi imetazamwa na watu wapo marekani na wao wameitumia katika mashamba yao.
Tutakapoacha kuipa siasa thamani kubwa na kusimama na taaluma hizi ndoto zitawezekanaHapo inatakiwa solid basement ya creativity in art! Wanatushinda wahindi aseee
Kule hatukutaki baki hukuhuku ndo umekuwa mtulivu!, kule utaanza kutisha watu bure...๐คฃNaomba uvumilivu wako/ wenu nimalizile huu mwezi kwenye mada za ubunifu kisha kuanzia May Mosi turejee kule kwenye asili yetu๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ