Thanks MarkHilary naomba tofauti zetu za kiitikadi zituunganishe zisitutenganishe.. Kuna mahali tunaweza kukubaliana kutokubaliana na hilo pia ni jambo jema.. Thanks all the same brother ππΏβπΏMshana Jr ni mtu muungwana sana alitejaaliwa vipawa,hekima na ufahamu wa kipekee. Mshana Jr ni member wa JF ambaye mimi binafsi nampa heshima ya kipekee kabisa. Tofauti yangu na Mshana Jr ni itikadi ya kisiasa pekee kwa sababu yeye inapokuja anatakiwa kutoa comment katika eneo hilo yeye huegemea kwenye itikadi ya chama chake hata kama hana hoja za msingi katika scenario husika
Mshana Jr ni darasa la Phd kuhusu maisha na sanaa zake zionekanazo na zisizoonekana! Ni wakati sasa huyu jamaa aanzishe podcast maalum kuhusu metaphysical world na wataalam kote duniani waletwe hapo
Mshana kama una platform nyingine nje ya hapa Jf ni vizuri ukatushirikisha hapa
HahahahaππππππUkianza kushika matunguli yako unafikiri nitang'oa totoz humu!.. kaka we baki hukohuko kuwa tu malaika aliezeeka huku hatukutaki...π
Hapa sasa umenena vyemaNaomba uvumilivu wako/ wenu nimalizile huu mwezi kwenye mada za ubunifu kisha kuanzia May Mosi turejee kule kwenye asili yetuππΏππΏππΏ
Mkuu,Mwaka 2012 nilikua natembelea jf bila kuwa na I'd nikitumia Nokia fulani ya batan, huyu Mshana alikua akifundisha mambo mengi sana ya kichawichawi kuanzia namna majini yanavyokaa kichwani, jinsi ya kuvaa kila siku ili uendane na ulimwengu, matempo ya kichawi na mengine mengi ya kutisha.
Ule uzi ulikuwa na wachangiaji wengi sana lakini ukaja kupotea mazingira tatanishi... Nimekua nikiutafuta bila kuupata nadhani uongozi wa jamiiforum waliufuta
Kwa elimu za kichawi zilizokua zinatolewa kule nahisi mamlaka ziliogopa tusije kugeuka mazombi wakaona ufutwe π€£
Mwaka 2012 nilikua natembelea jf bila kuwa na I'd nikitumia Nokia fulani ya batan, huyu Mshana alikua akifundisha mambo mengi sana ya kichawichawi kuanzia namna majini yanavyokaa kichwani, jinsi ya kuvaa kila siku ili uendane na ulimwengu, matempo ya kichawi na mengine mengi ya kutisha.
Ule uzi ulikuwa na wachangiaji wengi sana lakini ukaja kupotea mazingira tatanishi... Nimekua nikiutafuta bila kuupata nadhani uongozi wa jamiiforum waliufuta
Kwa elimu za kichawi zilizokua zinatolewa kule nahisi mamlaka ziliogopa tusije kugeuka mazombi wakaona ufutwe π€£
Nadhani ni huuMkuu,
Mshana Jr kama huo Uzi bado upo naomba link nijifunze vitu vipya.