Mshana Jr. Expert Member Nina ombi

Mshana Jr. Expert Member Nina ombi

Mkuu mshana jr mtu mmoja poa sana na ana uelewa wa mambo mengi sana kwa kiwango cha juu sana, ila kuna threads zake nyingine ni kiboko yaani ukiifungua tu hutaki hata kusoma unaikimbia haraka sana. Nimefungua thread yake moja sekunde chache zilizopita nimeifunga haraka sana hata nusu page sikuimaliza lol!

Aisee mbona watunamuogopa sana mshanakr?
 
Mkuu mshana jr mtu mmoja poa sana na ana uelewa wa mambo mengi sana kwa kiwango cha juu sana, ila kuna threads zake nyingine ni kiboko yaani ukiifungua tu hutaki hata kusoma unaikimbia haraka sana. Nimefungua thread yake moja sekunde chache zilizopita nimeifunga haraka sana hata nusu page sikuimaliza lol!
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji124] [emoji25] [emoji124]
 
Back
Top Bottom