Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

Daa, mtoto kazimika kweli, si rahisi mtu kutumia muda wake kuandika Shairi kiasi hivi, there is something behind... kazi kwako Jr, tunaomba mrejesho tu mkuu, good luck...
 
Daa, mtoto kazimika kweli, si rahisi mtu kutumia muda wake kuandika Shairi kiasi hivi, there is something behind... kazi kwako Jr, tunaomba mrejesho tu mkuu, good luck...
You never know about JF unaweza kuuziwa mbuzi kwenye kiroba...tumeyaona haya[emoji3]
 
You never know about JF unaweza kuuziwa mbuzi kwenye kiroba...tumeyaona haya[emoji3]
Mkuu ni kweli, lakini si kwa namna hii, kuandika gazeti lile bila sababu yeyote si rahisi, hongera zako kaka mtoto kaingia mwenyewe kama bafuni vile...
 
Baada ya mume dume la simba kushindwa kazi naona sasa unatafuta michepuko![emoji1]
 
Mkuu ni kweli, lakini si kwa namna hii, kuandika gazeti lile bila sababu yeyote si rahisi, hongera zako kaka mtoto kaingia mwenyewe kama bafuni vile...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23].......Hivi mkuu huwa unafanyaje pm zisikuzidi nguvu?[emoji30]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji12] [emoji12]
 
PUMZIKO LYRICS BY LADY JAY DEE
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
[Verse 1]
Umkalishe kitako
Sema nae taratibu
Hii nafasi ni yako
Usijitie aibu
Kwani na mimi mwenzako
Nasubiri kukutibu
Sitochoka kusubiri
Hadi unipe majibu
[Chorus]
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
[Verse 2]
Hana mapenzi juu yako
Kwako yeye miyeyusho
Wahitaji suluhisho
Achana na vituko
Nini anataka kwako?
Muulize akueleze
Sitochoka kusubiri
Hadi unipe-unipe-unipe majibu
[Chorus]
Mwambie wataka kuja
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande
Huoni we wateseka?
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Njoo nikupe fundisho
Achana na vyake vituko
Nipo kwa ajili yako
Njoo upate pumziko
Mmh, aah, ah ah
Mmh, aah
[Chorus]
Mwambie wataka kuja (uh mwambie)
Huru apate kuachia
Maamuzi yako upange
Bila kuwa wake upande (bila kuwa wake upande)
Huoni we wateseka? (wa… teseka)
Kwake u kama mateka
Wahitaji pumziko
Nipo kwa ajili yako
Mwambie wataka kuja
Hivi hawa waimbaji wa bongo hawafahamu kuwa una very good lyrics?? wakutafute na wakupe mpunga ili uwanyooshe lyrics zao ambazo ni hizo hizo kila siku.
 
Back
Top Bottom