[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Si useme tu kuwa ni Pwagu na Pwaguzi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ujue wote wanaomtaka mshana jr ni vimiss, si waona jamaa aonekana tafu!
Hapo kwenye bold, mshana jr ni kibamia, au mwanaume gogo, hebu tudadavulieNazjaz umefunguka maana mtu kutumia muda wako kufikiri kisha ukavishughulisha vidole vyako kuandika ina maana una maanisha chonde chonde mshana jr usije mtenda bint wa watu akaja kuwa muumini mzuri wa break up songs mara am doing just fine ya Boyz 2 men kesho he wasn't man enough ya toni braxton alaa kuli hali mashairi yote ayajue once again hongera kwa kutangaza nia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkubwa itabidi na Mimi uninynyizie jivu la kunguni, maana hakuna namna. Hicho kismati hatari.
Rafiki nakusalimu kwa jina Yesu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji15] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nazjaz umefunguka maana mtu kutumia muda wako kufikiri kisha ukavishughulisha vidole vyako kuandika ina maana una maanisha chonde chonde mshana jr usije mtenda bint wa watu akaja kuwa muumini mzuri wa break up songs mara am doing just fine ya Boyz 2 men kesho he wasn't man enough ya toni braxton alaa kuli hali mashairi yote ayajue once again hongera kwa kutangaza nia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mshana unatumia dawa gani mkuu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Choir
Ugomvi wa bunduki huo! hapana nilimpa mfano nilimaanisha watu mambo yakiwashinda visingizio huwa vingi Kimoja wapo ndio hicho cha toni braxton sikumaanisha kibahundred.Hapo kwenye bold, mshana jr ni kibamia, au mwanaume gogo, hebu tudadavulie
naona kizizi kimemkolea..!! duh we balaaaa yangu maskio na macho...[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila kuna mtu sitamani afike huku[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Lakini sio kizungumkutimapenzi kizungu zungu