Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

Mshana Jr, hebu achana naye huyo, njoo kwangu upate pumziko

Duh Mshana anabadilisha sana wachuchu... kweli nimeamini uganga una faida zake huyu jamaa kama Panga la Shaba kajiipulia Betina na Zena
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] jf hii Kasie isije kuwa mbuzi kwenye kiroba [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji87] [emoji125] [emoji125]

Hahahahaa mie sijui mwaya moyo wa mtu kichaka. .... mie nakutakia heri tuu bambo anakwambia kuku ruka mwanangu. ..hehehehe
 
Hahahahaa mie sijui mwaya moyo wa mtu kichaka. .... mie nakutakia heri tuu bambo anakwambia kuku ruka mwanangu. ..hehehehe
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji6]
 
Hahahahaaa Mshana wewe.... unafurahia mlo wa usiku eeeh hahahahahah
Mara hii ushapikiwa dikodiko....
1471976992019.jpg
cha usiku
 
Safi... pongezi kwa wifi.....

Mpe haki yake ya msingi maana amezingatia afya ya mlaji.
Nikuvwiree nimche wedi huyoo.... mteke upareni ugae nae madioo na makweme. ..

Kio Chedi Mshana. ...

Mrungu akughenjee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8]
 
mkuu naona nyota imeng'aa, mimi ningekuwa wewe ninge jidisclose publicly kwenye media,maana jina yako ishakuwa brand ya kupigia pesa..ni zaidi ya papaa msofe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom