Mshana Jr hii ni Reminder......

Mshana Jr hii ni Reminder......

kengeledoi

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
325
Reaction score
230
Habari Wakuu, Natumaini mpo poa huku tukiwa tunaendelee kumuombea Maxence Melo na familia yake.

Kwako Mshana Jr natumaini u mzima, mimi na familia yangu ni wazima kabisa. Dhumuni la waraka huu ni kutaka kukukumbusha juu ya ile ahadi yako ya kunikaribisha dar. Kwa sasa nipo likizo hivyo nasubiria ule mwaliko wako pia nitakuja na familia yangu yote na hivi hatujawahi fika dar tutafurahi sana.

Wako mwana Jamii Forum member.......

Endito
 
[emoji23][emoji23][emoji23] dah mshana timiza ahadi
 
Hatari kwani kale kabibi hajapita huku..??..[emoji15][emoji15]...Faizaaaaaaaah 🙂
 
Back
Top Bottom