kengeledoi
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 325
- 230
usijali mkuuMfuate PM
Pamoja sanausijali mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] dah mshana timiza ahadiHabari Wakuu, Natumaini mpo poa huku tukiwa tunaendelee kumuombea Maxence Melo na familia yake.
Kwako Mshana Jr natumaini u mzima, mimi na familia yangu ni wazima kabisa. Dhumuni la waraka huu ni kutaka kukukumbusha juu ya ile ahadi yako ya kunikaribisha dar. Kwa sasa nipo likizo hivyo nasubiria ule mwaliko wako pia nitakuja na familia yangu yote na hivi hatujawahi fika dar tutafurahi sana.
Wako mwana Jamii Forum member.......
Endito
πππππ umeona mkuu bora nije huku maana PM kutakuwa na foleni hataweza kuona msg zanguMshana una tabu kweli watoto hadi PM wanaogopa kuja ,wanakuja hadharani ili ushahidi uwepo wakipotea kwenye mazingira yasiyo eleweka
Punguza dozi Mshana za kina Rasi Nyoka
hahaaaaaaaaaa wala hatuji wengi kama 25 tu halafu tutakaa hadi holiday iishe halafu tunavyopenda kula nyama sasamshana unaloo wamasai wanakujia kijiji kizima!!
ila wageni ni baraka mkuuUsawa huu Wa magufuli hatokubali
me nilikumbuka ule usemi wa ahadi ni deni[emoji23][emoji23][emoji23] dah mshana timiza ahadi
Ndio muende na vizawadi basiila wageni ni baraka mkuu
yaani mkuu hapa tunasubiri tu atupe mwaliko zawadi tutabeba za kutosha bila kusahau ya kwko.Ndio muende na vizawadi basi
πππππHatari kwani kale kabibi hajapita huku..??..[emoji15][emoji15]...Faizaaaaaaaah π
mshana unaloo wamasai wanakujia kijiji kizima!!