Mshana Jr hii ni Reminder......

Mshana Jr hii ni Reminder......

mshana jr hana tabu, ila ili kuweka balance hao ndugu zako utawaacha kwake lakini wewe uje kwangu, hata nauli ya kutoka kwa Mshana mpaka kwangu nitalipa, karibu very
 
Akikukaribisha tu mimi ndiye nitakayekupokea kukupeleka kwake...si eti eenh
 
Hizi zama zingine, Usije mjini huku tuna presha nyingi saana! karibu lakini ila Mtakaa mda gani?
 
Habari Wakuu, Natumaini mpo poa huku tukiwa tunaendelee kumuombea Maxence Melo na familia yake.

Kwako Mshana Jr natumaini u mzima, mimi na familia yangu ni wazima kabisa. Dhumuni la waraka huu ni kutaka kukukumbusha juu ya ile ahadi yako ya kunikaribisha dar. Kwa sasa nipo likizo hivyo nasubiria ule mwaliko wako pia nitakuja na familia yangu yote na hivi hatujawahi fika dar tutafurahi sana.

Wako mwana Jamii Forum member.......

Endito
Very very sorry naona kuna kitu hakikuwa sawa post nyingi kunihusu ndio naziona Leo.... Hebu tujipange tena
 
Mshana una tabu kweli watoto hadi PM wanaogopa kuja ,wanakuja hadharani ili ushahidi uwepo wakipotea kwenye mazingira yasiyo eleweka
Punguza dozi Mshana za kina Rasi Nyoka
[emoji23] [emoji23] [emoji81] [emoji81] [emoji23] [emoji81] [emoji81]
 
mshana jr hana tabu, ila ili kuweka balance hao ndugu zako utawaacha kwake lakini wewe uje kwangu, hata nauli ya kutoka kwa Mshana mpaka kwangu nitalipa, karibu very
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
Back
Top Bottom