Mshana Jr jitokeze mkuu ujibu hizi tetesi

Mjini hapa mkuu, Tunazotumia humu ni ID feki, usije ukashangaa ikiwa kweli.
 
Mzuqa wanajamvi!

Nimecheka had kulia. Humu jamvin raha sana wanajf tunavituko. Eti kuna tetes humu tangu Scorpion akamatwe mshana jr haonekan humu jamvin. Hii kitu imenichekesha sana.
KWA UFAHAMU WANGU mshana jr YUPO SAFARINI AFRIKA KUSINI ATARUDI BAADA YA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKE HUKO ALIPO, NAKANUSHA HABARI ZA KUMUHUSISHA NA SCORPION SABABU YULE UNAYEMUONA KWENYE AVATAR NDIO mshana jr HALISI, Je,anafanana na Scorpion?
 
kwani ukiwa Sauz Jamii forums haipatilan?
 
Back
Top Bottom