Dasvidaniya
Senior Member
- Sep 17, 2024
- 194
- 671
Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii
Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)
Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa nikisubiri for a long time pengine labda umetingwa or any other reasons
Of course binadamu ni kawaida sana kusahau na nitumie nafasi hii kukumbusha. Ni matumaini yangu ukiamka utaukuta huu uzi na kukumbuka, ninahitaji mazungumzo mkubwa🙏🙏
👇👇
#untill we meet again#