Mshana JR kuhusu ombi langu kwako

Dasvidaniya

Senior Member
Joined
Sep 17, 2024
Posts
194
Reaction score
671
Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii

Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)

Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa nikisubiri for a long time pengine labda umetingwa or any other reasons

Of course binadamu ni kawaida sana kusahau na nitumie nafasi hii kukumbusha. Ni matumaini yangu ukiamka utaukuta huu uzi na kukumbuka, ninahitaji mazungumzo mkubwa๐Ÿ™๐Ÿ™


๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
#untill we meet again#
 

Attachments

  • Screenshot_20250310-030900.png
    151.4 KB · Views: 1
Kama shida yako sio ya siri sana tutumie hata sisi wanafunzi wake ni wasaidizi wake wa kujitolea maana mkuu Yuko busy sana Pm yake inajaa sana ni mtu mashuhuri ndo maana lazima pia usalama wake awe nao makini..kama una tatizo lolote mkuu waweza nicheki hata Mimi watu tunao kauzoefu kidogo cha maisha hata maneno yetupia yanaweza kuwa TIBA kwako.asante
 
Sawa mkuu nakuja PM
 
Very sorry brother..sijakutendea haki kwenye hili.. Nilipitiwa lakini nadhani na uzee sasa unachangia๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜€ Pole sana nakucheki sasa hivi
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ