Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
mods wakikupiga ban unaweza kuibanua??Kuanzisha blog ni ngumu labda nijitoe JF kwanza kitu ambacho hakiwezekani
Taratibu na kanuni za JF haziruhusu
[emoji15] [emoji3] [emoji3] HA PA NAmods wakikupiga ban unaweza kuibanua??
ban za mods haziwezekani kuzi skip kiuchawi,uganga...bank pia hivo hivo...kuna uhusiano gani hapo[emoji15] [emoji3] [emoji3] HA PA NA
[emoji3] [emoji3] hapana haiwezekaniban za mods haziwezekani kuzi skip kiuchawi,uganga...bank pia hivo hivo...kuna uhusiano gani hapo
sijakupata[emoji3] [emoji3] hapana haiwezekani
Yanaoonekana kwa macho ni replica ya ulimwengu wa roho kilichopo huku kimeanzia hukosamahani kwa maswali mengi...kwa sababu mmeniamsha nyie wenyewe....kwanini waganga au wachawi au majini wanazidiana viwango?
Kuelekeza kuonya kutahadharisha na kuelimishaswali la mwisho kwako binafsi.......je unaweza kufanya kitu gani kati ya vile ambavo unatuelekeza kwenye threads zako..ambavo wana jf wote tukathibitisha huko tulipo...yaani kila mtu akaleta ushududa wenye majibu yanayofanana.....ila viwe vitu simpo kidogo
majibu yako shortcut saivi.....au upo kaziniKuelekeza kuonya kutahadharisha na kuelimisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiyachambua unajaza kurasa za kutoshamajibu yako shortcut saivi.....au upo kazini
Mkuu jibu la tafsiri ya ndoto yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukiyachambua unajaza kurasa za kutosha
Nimekujibu fuatilia utaonaMkuu jibu la tafsiri ya ndoto yangu
OkNimekujibu fuatilia utaona
Bebe rafiki itakuwa ni Kapeacehuyo mtu ni joanah au ni kapeace?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] babe rafiki nataka nikuuze kwa DJ kwa cash na siyo kwa mkopo!Bebe rafiki itakuwa ni Kapeace
Ok asante nimekuelewaNitarejea
Tuendeleee sasa =====nimerejea
Mara nyingi ndoto tuotazo tafsiri yake huja kinyume isipokuwa tu zile ndoto maono au ndoto taarifa.... Na kila ndoto hubeba tafsiri zaidi ya moja
Na kuna baadhi ya ndoto hazina maana yoyote isipokuwa ni vague memories ya matendo yetu yote kimawazo matendo na maneno
Ndoto inayojirudiarudia ni dalili ya ndoto maono ama ndoto taarifa lakini vilevile inawezekana kabisa ikawa ni kulitamani jambo moja kwa muda mrefuMkuu mshana jr hua naota nipo naendesha land cruiser (bdo sjainunua for now) huku nikiwa na mpnz wangu na mtt wtu (hatuna kwa ss) then ghafla ninapgwa risasi ni mida ya usiku , ndoto hii ina maana gani ? Coz imekua repeated more than twice
utakuwa mwanasiasa soonMkuu mshana jr hua naota nipo naendesha land cruiser (bdo sjainunua for now) huku nikiwa na mpnz wangu na mtt wtu (hatuna kwa ss) then ghafla ninapgwa risasi ni mida ya usiku , ndoto hii ina maana gani ? Coz imekua repeated more than twice