Mshana Jr live interview on DJ sepetu show!

samahani kwa maswali mengi...kwa sababu mmeniamsha nyie wenyewe....kwanini waganga au wachawi au majini wanazidiana viwango?
 
swali la mwisho kwako binafsi.......je unaweza kufanya kitu gani kati ya vile ambavo unatuelekeza kwenye threads zako..ambavo wana jf wote tukathibitisha huko tulipo...yaani kila mtu akaleta ushududa wenye majibu yanayofanana.....ila viwe vitu simpo kidogo
 
Kuelekeza kuonya kutahadharisha na kuelimisha
 
Nitarejea

Tuendeleee sasa =====nimerejea
Mara nyingi ndoto tuotazo tafsiri yake huja kinyume isipokuwa tu zile ndoto maono au ndoto taarifa.... Na kila ndoto hubeba tafsiri zaidi ya moja
Na kuna baadhi ya ndoto hazina maana yoyote isipokuwa ni vague memories ya matendo yetu yote kimawazo matendo na maneno
Ok asante nimekuelewa
 
Mkuu mshana jr hua naota nipo naendesha land cruiser (bdo sjainunua for now) huku nikiwa na mpnz wangu na mtt wtu (hatuna kwa ss) then ghafla ninapgwa risasi ni mida ya usiku , ndoto hii ina maana gani ? Coz imekua repeated more than twice
 
Ndoto inayojirudiarudia ni dalili ya ndoto maono ama ndoto taarifa lakini vilevile inawezekana kabisa ikawa ni kulitamani jambo moja kwa muda mrefu
 
Mkuu mshana jr hua naota nipo naendesha land cruiser (bdo sjainunua for now) huku nikiwa na mpnz wangu na mtt wtu (hatuna kwa ss) then ghafla ninapgwa risasi ni mida ya usiku , ndoto hii ina maana gani ? Coz imekua repeated more than twice
utakuwa mwanasiasa soon
 
Back
Top Bottom