amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 456
Huyu tapeli hutomwonaBaadae afate mzizimkavu
Mazingira niliyokulia na mambo niliyokutana nayo... Nimefaidika kwa kuufahamu ulimwengu wa giza katika kiwango cha juu mno
Usijali mkuuUnitag
Nilijua tu, kumuuliza maswali huyu mkuu muda huu mnamtesa sana, muda wetu usiku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Naomba tusitishe kwa muda nitarejea usiku.... My apology
ndio namfahamu ni nani uyoWe unamfahamu mwalimu gidasaida
huyo mtu ni joanah au ni kapeace?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nidokeze kuna mtu humu nataga nimkate[emoji23] [emoji23]
Aiseee hujalala.... Tuu mpendwaKaka Mshana
Swali langu ni ulioa ukiwa na miaka mingapi, na nini kilikusukuma kuoa????!!!
Je, ulishawahi tamani watoto wako wawe kama wewe???
Ni nini kinakufanya ujione wewe ni baba bora????
Mtu kuota anapaa usiku, hiyo ndoto ina maana gani??!!!
Mwisho kabisa, natamani nikuone kwa macho yangu, mchana!!!
Bado mpendwaAiseee hujalala.... Tuu mpendwa
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Mshana Jr .... Hawezi kuchat mchana coz macho yake ni kama ya Nyau halafu hayaonagi vizuri mchana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kupitia elimu na maarifa mbalimbali niliyojifunza sehemu mbalimbali nje na ndani ya nchiAtuambie ushirikina aliujuaje mzee wangu huyu
1. Elimu yako ni kiwango(level) gani? Umejikita kwenye fani gani?
Elimu yangu ni level ya chuo kiasili mimi ni mwalimu wa lugha
2. Unajishughulisha na shughuli gani za kujipatia kipato
Ni muajiriwa sio kwa fani yangu na ni mjasiriamali
3. Unawashauri nini vijana ili waweze kujikwamua kiuchumi kulingana na wimbi la ukosefu ajira
Elimu yetu ya sasa haimjengei kijana uwezo wa kufikirika kusimama mwenyewe zaidi ya kuajiriwa .. Ila ni muhimu mtu kujiongeza na kujibidiisha kwenye lolote positive
4. Mambo/vitu gani unavipenda na hauvipendi katika maisha yako ya kila siku
Amani haki na usawa... Nachukia dhuluma, ukatili na roho mbaya
...Je uchawi una faida(Kama zipo ni zepi?)Uchawi hauna faida zozote, jambo baya haliwezi kuwa na kheri yoyote
Ipi ni asili ya uchawi, je ulikuwapo tangu za uumbaji? Uchawi ulikuwepo tangu uumbaji na ni sehemu ya uumbaji
Mtu anawezaje kujifunza/kuacha uchawi?
Kuna uchawi wa kuzaliwa nao
Kuna uchawi wa kurithi/kurithishwa
Kuna uchawi wa kufundishwa na wachawi moja kwa moja
Na kuna uchawi wa kusoma darasani kabisa, wenzetu huko nje wana vyuo kabisa
Unaweza kuacha uchawi muda wowote ukiamua lakini sio uchawi wa kurithi
Kuna uhusiano gani kati ya rangi nyekundu na nyeusi kwenye uchawi? Nyekundu ni moto na nyeusi ni giza.. Nyekundu ni alama ya hatari uchawi ni hatari, nyeusi ni alama ya kutoonekana uchawi ni mambo ya gizani
Last but not least ni upi mtazamo wako kuhusu uchawi je unafaa kutumika?
Uchawi ni jambo baya kabisa na haufai kutumika popote
Karibu.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh [emoji33][emoji27] mi naona maswali na majibu nazidi kuogopa tu hata jua bado halijazama, bora niache kuzisoma hizi komenti [emoji85][emoji85][emoji85][emoji1373][emoji1373][emoji1373]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mida ndio hii sasa karibuNilijua tu, kumuuliza maswali huyu mkuu muda huu mnamtesa sana, muda wetu usiku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Cc:kadagala1
umeongea karibu na ukweliMademu wameisha sasa naona umehamia kwa njemba.
Kaka Mshana
Swali langu ni ulioa ukiwa na miaka mingapi, na nini kilikusukuma kuoa????!!! Kuoa maana yake ni kubwa na mwenza rasmi.. Hili ni hitaji la kibinadamu nimelitimiza...
Je, ulishawahi tamani watoto wako wawe kama wewe??? Wawe na elimu ya utambuzi ni muhimu mno kuifahamu hii elimu,
Ni nini kinakufanya ujione wewe ni baba bora???? Najali naonya, narekebisha, naelekeza kwa weledi... Weledi na tafakuri ndio msingi wangu mkuu kwenye lolote
Mtu kuota anapaa usiku, hiyo ndoto ina maana gani??!!! Ukiachana na ndoto za kawaida, hapo ni roho inaenda kuvinjari dunia
Mwisho kabisa, natamani nikuone kwa macho yangu, mchana!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante karibu sana Msata
Nipo hewani karibuBro Mshana jr njoo sasa ujibu maswali yetu, sisi tusioogopa ndio muda wetu huu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Cc:Kadagala1
Mkuu, zaidi ya JF uko kwenye mitandao ipi ya kijamii na unatumia ID zipi? Na je, profile yako ya JF hutembelewa na idadi gani ya watu kwa avarage ya siku moja?[emoji23] [emoji23] [emoji23] mida ndio hii sasa karibu