Mshana Jr Mambo!

Mshana Jr Mambo!

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sema kweli?? sasa wewe Kama anko wake umemsaidiaje yaani mpk sasa?
Kweli tena, ndio nmefikisha ujumbe hapa, ili kumuokoa ankoo,anakoelekea sio kuzuri[emoji28][emoji28]
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Yalianza kama safari,, twende fulani ukaone,
kumbe yana nguvu ni hatari, ukishazama ndio huoni song kizaizai - by Bwana Almasi
 
Vile Mshana Jr anachungulia huu uzi kwa mbali akijifanya kuwa hajauona ili kuwakwepa akina Mwajuma-kibinue wa JF wasije wakafukua makaburi bure😁😁😁
7543.jpg
 
Hujambo hapo ulipo,ni matumaini yangu kwamba hujambo na unaendelea na maisha kama kaiwada

Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali hapo ulipo ,ni hayo tu mkuu .

Asante
cutelove Hujambo hapo ulipo?, ni matumaini yangu kwamba hujambo na unaendelea na maisha kama kaiwada

Dhumuni la barua hii ni kukujulia hali hapo ulipo ,ni hayo tu mkuu .

Asante nikutakie sikukuu njema[emoji1545][emoji1787]
 
Back
Top Bottom