Mshana Jr na Robert heriel nimefatilia maandiko yao nimegundua Tanzania watu wenye akili bado wapo

Mshana Jr na Robert heriel nimefatilia maandiko yao nimegundua Tanzania watu wenye akili bado wapo

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr

Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi.

Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na ujinga.

Nyie ni hazina na mtaendelea kuishi katika akili za WATU.

Mna uwezo mkubwa Sana wa AKILI na nawaona mbali Sana.

Sio siri Tanzania kwa sasa kuzipata fikra huru Kama za hawa vijana sio rahisi.

Yabarikiwe matumbo yaliyowazaa.✊🏿
 
Kwahiyo kuandika mada ndefu za kuelekeza watu namna ya kufanya mapenzi ndio akili siyo??
Screenshot_20240717-193448~2.jpg

Waafrika bhana 😊
 
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr

Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi.

Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na ujinga.

Nyie ni hazina na mtaendelea kuishi katika akili za WATU .

Mna uwezo mkubwa Sana wa AKILI na nawaona mbali Sana .

Sio siri Tanzania kwa sasa kuzipata fikra huru Kama za hawa vijana sio rahisi.

Yabarikiwe matumbo yaliyowazaa.✊🏿

Shukrani Sana Mkûu.
Kupongezwa kwèñye Maisha Kwa Kile unachokifanya ukiwa hai ukashuhudia NI Jambo la kushukuru Sana Mungu.

Barikiwa sana
 
Skia kuna wa kuitwa DR.HAYA LAND yuko vzr zaidi japo sio muandika thread sana
 
Back
Top Bottom