mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,465
Noah + mshana Jr = ?????Nataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?
Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.
karibuni watalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
fisi wana mashine Mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app