Noah + mshana Jr = ?????Nataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?
Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.
karibuni watalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji1]
PLEASE NICHEKI INBOX AU 0767328063 au pia waeza tembelea office zetu hapa Quality center-mtava -Pugu rdNataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?
Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.
karibuni watalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Noah New Model mkuu naiuza,nimeitumia miaka mitano haijawahi kusumbua chochote upande wa engine. Muonekano wake ni sawa na mpya.
navojua mimi hata engen d4 ni gari nzur tu inatakiwa usipitilize servise sion ubaya wa d4 sema wabongo wana kasumba ya kupenda jambo hizo old model zinakuja na 3s pamoja na 4s ni kweli ngumu lakin kwa unywaji wa mafuta unakua juu kidogo hizo d4 zipo vizur tu na hasa ikiwa vvtiNataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?
Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.
karibuni watalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza nina wasiwasi mshana Jr hajui mambo haya, labda ungemuuliza injini za ile kitu ya usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nina wasiwasi mshana Jr hajui mambo haya, labda ungemuuliza injini za ile kitu ya usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri soon atakuja kusema mwenyewe mshana Jr, maana hapa nnavyomtaja tu keshajua
Sent using Jamii Forums mobile app
D-4 ni engine za kisasa na zinahitaji uelewa mzuri kuweza kuzijulia zinataka nini.... Engine zinazolalamikiwa sana ni hizi za Voxy hazipatani na spana kabisa... Ikiwa nzima utaipenda sana ila omba Mungu isizingueNataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?
Hizi old model nasikia ni ngumu, ila muonekana wake siupendi ukilinganisha na New model.
karibuni watalaamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mpaka uwe na mkojo wa chanikiwitiWhy unaagiza NOAH? Nakushauri agiza kitu kingine na ikibidi hata Tractor, NOAH tutapewa za bure!
Sent using Jamii Forums mobile app
D4 ni injini nzuri sana sema inataka nidhamu ya service lakini hizo za kwenye Noah mpya ni 1az sijui kwa nini zinasumbua kwenye Noah kwani hata Gaia na Rav 4 zipo injini hizo.D-4 ni engine za kisasa na zinahitaji uelewa mzuri kuweza kuzijulia zinataka nini.... Engine zinazolalamikiwa sana ni hizi za Voxy hazipatani na spana kabisa... Ikiwa nzima utaipenda sana ila omba Mungu isizingue
Ushauri chukua Noah SR-40 au zile Tourer
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa mkuu yaani 1az zikiwa kwenye noah zinasumbua?D4 ni injini nzuri sana sema inataka nidhamu ya service lakini hizo za kwenye Noah mpya ni 1az sijui kwa nini zinasumbua kwenye Noah kwani hata Gaia na Rav 4 zipo injini hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera mkuu.Nina Noah New Model mkuu naiuza,nimeitumia miaka mitano haijawahi kusumbua chochote upande wa engine. Muonekano wake ni sawa na mpya.
Hata mimi sijaelewa kwa nini nafikiri ni cooling system kwenye Noah inapata moto zaidi kutokana na muundo wa body. Maana engine ni hiyo hiyo kwenye Gaia unaipata, lakini sema ikiharibika hatujapata mafundi wa kuirudishia kwenye uhalisia.Sijakuelewa mkuu yaani 1az zikiwa kwenye noah zinasumbua?
Halafu zikiwa kwenye gari zingine hazisumbui? fafanua nielewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera ya nini tena tena mkuu?
Formula yake ni ngumu kuielewaMshana jr ....vipi toyo za usiku kuruka masafa marefu engine ukubwa gani [emoji4] [emoji46] [emoji23]
Don't put all egg on one Basket