Mshana Jr post zako zinatisha kufungua

Mshana Jr post zako zinatisha kufungua

We live in the erra of foolish people with social networks.
Mkuu kama unatishwa na post za mshana jr basi haupaswi kuishi kwenye ulimwengu huu wa sasa, kama ukichunguza maandiko ya mshana kwa makini, ukafanya tafiti, ukasoma na kushugulisha ubongo wako vizuri utarudi umshukru na siyo kublame!, Mkuu mshana jr tunatambua uwepo na mchango wako hapa Jf, with me nimebadilika somehow kutokana na knowledge niliyoipata through thread zako, keep on going bro.
NATUMAINI LEO UTAKUJA NA NONDO MPYA.
 
[emoji120] [emoji120] hii hapa kiingilio cha madhabahu za giza
 
huyu jamaa nakubali sana nyuzi lakini hazitishi kama usemavyo wewe utakuwa mwanaume wa dar maana wanaogopa mpaka mende
 
Back
Top Bottom