Mshana Jr uko wapi siku hizi?

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
19,355
Reaction score
14,408
Wakuu habari za usiku?

Huyu member wa JF alizoeleka sana kuandika thread za kutisha tisha, lakini siku hizi yupo kimya sana sijui ni kwanini.

Je, ni Corona? Nimemiss thread zako za vitisho na vimbwanga. Kama upo humu basi njoo tuendeleze mijadala.


Nawapenda wana JF wote.
 
alitunguliwa akiruka na ungo huko sumbawanga

so bado anatibu majeraha yake!
 
Ni km mzimu au siyo.Hatari sana
 
Mshana Jr na Mimi Nabii Bujibuji tuko busy na kufukuza Corona kwa njia ambazo mabeberu 🐐🐐 wanaweza kuziita ni lamri chonganishi, lakini hamna noma, hapa kazi tu, maendeleo hayana chama.
Wenzetu wa chama Cha wajenzi huru ndio wamiliki halali was gonjwa la Corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…