Mshana Jr uko wapi siku hizi?

Mshana Jr uko wapi siku hizi?

Mshana Jr na Mimi Nabii Bujibuji tuko busy na kufukuza Corona kwa njia ambazo mabeberu [emoji238][emoji238] wanaweza kuziita ni lamri chonganishi, lakini hamna noma, hapa kazi tu, maendeleo hayana chama.
Wenzetu wa chama Cha wajenzi huru ndio wamiliki halali was gonjwa la Corona
Kha!kha!,sawa mkuu.
 
Mshana Jr km Kigogo 2014.... anakuambia yupo MSATA... dk 5 baadae yupo DOM...dk 2 later yupo KISUTU MAHAKAMANI... dk 5 tena utamskia yupo na Lema kwa MROMBOO wanachoma nyama! Muda mfupi utamskia anasema... napita MSAMVU hapa.... dk 5 tena anakuambia amepishana Nape daraja la Mkapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka kesho kwa Mfipa utafika?

Jr[emoji769]
 
Wakuu habari za usiku?

Huyu member wa JF alizoeleka sana kuandika thread za kutisha tisha, lakini siku hizi yupo kimya sana sijui ni kwanini.

Je, ni Corona? Nimemiss thread zako za vitisho na vimbwanga. Kama upo humu basi njoo tuendeleze mijadala.


Nawapenda wana JF wote.
Nipo kaka.. Kolonya ilinitembelea kiaina ila sasa niko byiee kabisa

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom