Mshana Jr umempeleka wapi Demiss (Chamdeko wetu)

Sasa hao kina aunt wamenikuta huoni mmeo alivyokubali haraka, na hata sizili kula vya kaka yangu ,we wifi wewe mimi najua ndugu yangu si haba itakuwa anakuona mchoyo ndio maana anakubania,utuwacheeee
Siwaachi lazma mkae kwenye mstari, kwanza nyie mawifi mlinitesa zamani wakati sijawajua tabia zenu lakini sasahivi walaah hamnipi pressure kabisa kanuni na taratibu za nyumbani kwetu mimi na mume wangu mtazifuata tuu kupelekeshewa mume wangu sitaki.
By the way bwana huyu kukubali haraka haraka ombi lako sio kwamba anazo bali kaona aibu kwasababu umemuomba mbele ya hadhira.
 
Ananipaga vingi tu huwa tunakuficha maana unaonekana unambana sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…