Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Siwaachi lazma mkae kwenye mstari, kwanza nyie mawifi mlinitesa zamani wakati sijawajua tabia zenu lakini sasahivi walaah hamnipi pressure kabisa kanuni na taratibu za nyumbani kwetu mimi na mume wangu mtazifuata tuu kupelekeshewa mume wangu sitaki.Sasa hao kina aunt wamenikuta huoni mmeo alivyokubali haraka, na hata sizili kula vya kaka yangu ,we wifi wewe mimi najua ndugu yangu si haba itakuwa anakuona mchoyo ndio maana anakubania,utuwacheeee
By the way bwana huyu kukubali haraka haraka ombi lako sio kwamba anazo bali kaona aibu kwasababu umemuomba mbele ya hadhira.