Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kapigwa chini kavimba juu,mbayaaa weweHahahaaa kapigwa chini kavimba kati [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeeeee naumwa usibishie mgonjwa ,mgonjwa anataka juice na chips kukuWewe utakuwa uli lima padogo tuu
Huko ni kuchoka siyo kuumwa
Pole lakin
Haya nakuletea si mudaNikila chips kuku naponaa
Aya pole utapata matundaNdio nayataka naumwaa
Haya nasubiriaHaya nakuletea si muda
Hahahahaha chezea miti shamba tena lazima uote kitambiHahahahaa
Mshana nime mshindwaaa!
Mgonjwa hanywi soda simpelekei hiyoNa pepsi ya baridiiii kabisaaaa
PoaHaya nasubiria
Na dagaa eti si utakuwa umepona vizuri ukipataHaya nasubiria
Teh teh tehWatu na mbegu zao wenye mbegu Makinikia kazi wanayo.
Naona salary advance imeshaanza kukusumbua baby, naomba uniletee hiyo kadi ya benki maana naona dalili mbaya pesa yote itaishia kwenye chips kuku mwisho wa siku familia inateseka.Haya nakuletea si muda
Uchumi huumgumu bro atakunywa maji tuuHiyo ni Roho mbaya basi mpelekee na juice ya Box