Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
MmmmhNitampa
Na mimi naumwa ice
Umeanza lin?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmhNitampa
Na mimi naumwa ice
Jana nililima eneo la nyumbani naumwa mwili wote hoiiiiiiMmmmh
Umeanza lin?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jana nililima eneo la nyumbani naumwa mwili wote hoiiiiii
Kina nani hao mkuuHivi nyie watu mnafahamiana kwa sura?
We uwo sio ugonjwa ni uchovuJana nililima eneo la nyumbani naumwa mwili wote hoiiiiii
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]We uwo sio ugonjwa ni uchovu
Labda kama unataka upewe matunda et?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani ukilima shamba unategemea nini? Si mazao?
Watu wabaya sana aiseeeee......[emoji12] [emoji12] [emoji12]Duuuuh watu wameshamjaza D
Nalima mwenzio na G ni mkulima basi nalimishwajeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
We umeanza lini kulima?
Mshana kammimbaAnaumwa nini ?
Haonekani siku hizi huyu mr's Mshana jr tumemmisi kwakweli.
Ni wajibu wetu kukuuliza ili tujue Ndugu Mshana Jr umempeleka wapi Demiss wetu (chamdeko)
Tumemisi uwepo wake humu jukwaani .
Kama kuna nguzo anamalizia kuhusu mambo yenu ya Sayansi ya Giza ni vyema kutuweka wazi tujue..!
Hahahaaa kapigwa chini kavimba kati [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana kammimba
Wewe utakuwa uli lima padogo tuuNalima mwenzio na G ni mkulima basi nalimishwajeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenionea huruma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana kammimba
HahahaaDuuuuh watu wameshamjaza D
U meant achezi mbali na vitu vya ugwadu ugwadu na kopo la kutemea mateKwani ukilima shamba unategemea nini? Si mazao?
Ndio nayataka naumwaaWe uwo sio ugonjwa ni uchovu
Labda kama unataka upewe matunda et?
mshana sio mtu wa kisport sportHahahaa
Umejuaje
Nikila chips kuku naponaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]